Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Mkeo ni mchoyo kingine ameshajua unampenda sana ndio maana anakufanyia hivyo vituko vyake

Kingine hiyo kukwambia muachane sijui anaondoka ni uongo anakutishia tu we siku akiongea hivyo mwambie ondoka uone kama ataondoka
 
Mimi kwa uzoefu wangu naisi mkeo humkanyi anapokosea hutoi ile sauti ya kiume ndani ya nyumba mtu siyo lazima umpige kuna adhabu nyingi sana alivyokujibu kuwa hawezi kupika tena usingekula nyumbani na ungerudi ata kesho yake au usiku menen usiogope kununiwa ndani ya nyumba ayo ni maamuzi yake ukimuendekeza atakuwa anajinunisha kila Mara mimi wangu na mwambiaga ukinuna hutaniona apa ndani na nikijua unachepuka Mimi sina sura ya remi ongala fasta tu naopoa mwingine maisha yanaenda sijazaliwa na wewe Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha ha ha... Jamaa noma sanaaa!! Sema wanawake ukiwaendekeza mbona utajutaaa anakuendeshaa balaa... Ukijidai kila akinuna unabembeleza utakufa na preshhaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke wako sio mjamzito?kama ni mjamzito mvumilie lkn muelekeze kwa ustarabu aache hizo tabia kama sio mjamzito kuwa na misimamamo kama mwanaume na baba wa familia,akitaka kurudi kwao mwambie aende na arudi akijisikia,usimuoneshe kwamba unamuhitaji sana,ww endelea kupambana na maisha na kufanya maendeleo. colin_morgan,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo unayopitia ukiyafaulu mlima vizuri itakuwa mwalimu wa ndoa nyingi kuazia watoto wako Sababu umesema umeajiriwa na vyazo vya fedha lazima ujaribiwe na ujue adui wa mtu ni Yule wa nyumbani mwako usimuache kabisa huyo anakuona kuwa mke bora badae ya kupita hayo ni ya mda tu dogo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa siyo kubaya. Wewe una miaka 28. Wala hukuharakisha. Ni umri wa kawaida huo kuoa. Tatizo ni unamuoa nani? Je, mnaendana? Wewe ni mkarimu, yeye siyo mkarimu na mwenye kujenga urafiki na watu. Yeye hayuko hivyo. Kwa hiyo hamuendani kabisa. Kuhusu talaka, sikushauri utoe. Mvumilie kidogo. Wapo ambao huwa wanabadilika. Wa kwangu alibadilika. Pia ongea na wazazi wa pande zote kuhusu hili. Hasa mfano uliotoa hapa, utumie. Mzazi yeyote mwenye akili atamwona mkeo alivyo na matatizo kwa kutumia mfano uliotoa hapa.
colin_morgan,
 
Kawaida ya wanawake akiona mumewe kazubaa, huwa wanaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu,huyo mama anataka aone uanaume wako ndani, sio kila siku unamletea u baby baby u know I love u, muonyeshe mfumo dume ajue ameolewa na mwanaume sio kaka yake, Alaaaa
Kama namuona mkeo akizingua atakavyokula mavibao duh[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo unayopitia ukiyafaulu mlima vizuri itakuwa mwalimu wa ndoa nyingi kuazia watoto wako Sababu umesema umeajiriwa na vyazo vya fedha lazima ujaribiwe na ujue adui wa mtu ni Yule wa nyumbani mwako usimuache kabisa huyo anakuona kuwa mke bora badae ya kupita hayo ni ya mda tu dogo


Sent using Jamii Forums mobile app
True
 
Aahh unajua kuna mabinti wamelelewa na Akina mama au walezi ambao ni Mabahili wachoyo n.k...huyu Mara nyingi anakua na tabia iyoiyo hata ukubwani kwake.

Yaan nisawa na Kumuuliza Mchaga, Unakunywa pombe? Badala ya kumuuliza Unatumia pombe gan?

Sema ilo la chakula, Ongeza chakula home mzeee.


Ilo lakununa Nuna bila sababu nawee act km Baba wa Nyumba...punguza uzungu...
 
colin_morgan Huyo mbona amesha kukurahishia mambo!! Mwambie aondoke na asirudi kwani ulisha.choka tangu mwaka juzi, ulikuwa unamvumilia tu lakini sasa basi! Kisha tafuta kitu sahihi na saizi yako! Mbona wanawake wazuri na wenye heshima wapo wengi.tu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom