Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Kawaida ya wanawake akiona mumewe kazubaa, huwa wanaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu,huyo mama anataka aone uanaume wako ndani, sio kila siku unamletea u baby baby u know I love u, muonyeshe mfumo dume ajue ameolewa na mwanaume sio kaka yake, Alaaaa
 
Mjali mkeo bila kumpuuza kwa chochote kazi na mkeo ndo vitu muhimu sanaaa.

Ama ataendelea kudai kuondoka kabla hujamruhusu chunguza skirt zake kama zina marinda huwa wanaponzwa na vitu vidogo sana hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe muislamu au mkristo? Maana wakristo kuacha sio kazi rahisi. Ila kama muislamu mpe talak moja mwambie aende kwao asirudi mpaka utakapoenda kumchukua. Akae kwao hata miezi 6 na katika miezi yote usimtumie hata shilingi ya kujikimu. Huyo dada inaonekana neema za hapo ndani zimemfanya awe na kibri na kujisahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha hilo la kununa aisee ni balaa sijaona ila huyu niliye nae ana hizo tabia. Siku moja nikampiga biti zito kuhusu hiyo minuno isiyo na msingi basi tangu siku hiyo niko na amani. Mzee baba weka biti kali ikiwezekana vibao viwili vi3 havitasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha hilo la kununa aisee ni balaa sijaona ila huyu niliye nae ana hizo tabia. Siku moja nikampiga biti zito kuhusu hiyo minuno isiyo na msingi basi tangu siku hiyo niko na amani. Mzee baba weka biti kali ikiwezekana vibao viwili vi3 havitasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
kupiga simshauri, jambo la msingi ikiwezekana lazimisha mawasiliano.
na akitoa la moyoni tuwe na vifua kwa sababu linaweza kukukera.


Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
colin_morgan, Pole kwa yanayokukuta mkuu mm nae nlioa nikiwa na umri mdogo kuliko wako ila balaa nninalo kutana nalo ni nzitooo!!

Bora wewe anakutishia kukuacha (mm kipindi hcho nlitishiwa ivyo ivyo baadae nkachoka nkamruhusu asepe alikaa kwao siku mbili akarudi) ni miaka sasa tunaishi na tuna watoto ila tabia ni ile ile..

Majuzi tulizinguana nkaondoka om usiku nikaenda piga ulabu walau nipate kitu cha kuituliza akili nipate walau usingizi sikukaa sana nikarud nyumban kulala

Nafika namkuta kakaa kitandani na rundo la vidonge vimejaa kiganja,kwa kua namjua anapenda kufanya tukio mbele yangu hli kuniumiza nikajua alikua ananisubiri ili avimeze mbele yangu..

Kwa hasira nlimnyang'anya nkamnywesha mwenyewe kisha nkarudi zangu baa kujizima huku nikitegemea lolote laweza mkuta ila kwa kua wadogo zake walikua nyumban sikujal..

Nlirudi saa nane ata mbele sikua naona vizuri nikamkuta kakaa kavuta tu mdomo kumbe vile vidonge alivitema baada ya mm kuondoka.

Hawa watu wanatutesa pale tunapoonyesha kuwajali wao kuliko tunavyojijali,ata kula kwetu hatutakiwi kutegemea vyakula wanavyopika we toka job ingia mahali piga msos wako wa nguvu nenda nyumban ukikuta hapaeleweki jidai hujiskii kula au kula kidogo kumridhisha..

Mda mwingine viburi tunawapa wenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
colin_morgan,
Mpe aondoke hakuwa wako huyo mtu yeyote akiwa hakuelewi na humuelewi mruhusu aende .
Maisha ya ndoa ni mazuri asikiambie mtu kabisa .
Nahuo ni ukweli
 
Piga chini huyo mkuu hana heshima na hajakomaa kiakili kiasi cha kuitwa mke! Umri wako unaruhusu utaoamwingine mbona baaria sijaoa nina 32, bado nifanya scanning nioe mke mwenye sifa za kuitwa mke!!! Kwn vp mkuu umezaa nae mtoto!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
colin_morgan, Wewe hunatakiwa kufanya hakikwambia anaondoka wewe mjibu ondoka tena nisikukute chukua kilicho chako ondoka, funguo wa nyumba kaniweke mfano kwenye duka la jirani ulilozoea kununua vitu, na hukimwambia hivyo awezi kuondoka na tokea siku hiyo nidham itamjia,inatakiwa mwanamke hasikutishe siyo jui na ondoka kwetu!! Wewe mwambie ondoka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa uzoefu wangu naisi mkeo humkanyi anapokosea hutoi ile sauti ya kiume ndani ya nyumba mtu siyo lazima umpige kuna adhabu nyingi sana alivyokujibu kuwa hawezi kupika tena usingekula nyumbani na ungerudi ata kesho yake au usiku menen usiogope kununiwa ndani ya nyumba ayo ni maamuzi yake ukimuendekeza atakuwa anajinunisha kila Mara mimi wangu na mwambiaga ukinuna hutaniona apa ndani na nikijua unachepuka Mimi sina sura ya remi ongala fasta tu naopoa mwingine maisha yanaenda sijazaliwa na wewe Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom