Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Tatizo huna final say nyumbani, unamuombaje mkeo kwenda na mgeni nyumbani? We unatakiwa tu umpe taarifa ili ajue kwamba anatakiwa aongeze share. Vijana mambo mengine mnayalea wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.

Kwamba babe naomba nije na rafiki yangu aje kula mchana kwetu.
 
Colin... mkeo hakuheshimu.... na kuna sababu ya kutokuheshimiwa na sababu inaweza kuwa hajiheshimu tu mwenyewe au wewe ndiye umefanya asikuheshimu.

Binafsi ikifikia hatua mwanamke ananiambia hanitaki walah hata sicheleweshi namsaidia kuniacha.
 
Habari wakuu,
Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi

Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikuwa ni maisha mazuri sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa, nasema tena najutaaaaaa!

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa Serikalini. Pia najishughulisha na uwekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya kihivyo.

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kuwa na tabia za ajabu za kununa nuna kila siku bila hata ya sababu ya msingi.

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa huwa simjibu lolote.

Jana kuna workmate wangu(me) ambaye ni jirani yetu, mke wake amepata dharura kidogo so hayupo.

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kwenda hotelini kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home.

Tatizo lilianzia hapo. Wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki, kwanini sikumpa taarifa mapema? Ila nikamuelewesha kama imekuwa ni dharura na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida.

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kidogo usiku yeye hatopika tena chochote kile kwani amechoka. Nikakubaliana na yeye yakaisha, jamaa akaja kula na kuondoka.

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaanza kulalama kwamba chakula kimekuwa kidogo na kwa sababu nilileta mtu bila mpangilio. Nikamuambia “wewe kula mimi usiku sipendi chakula kizito so nitakula bites tu”

Bado akawa analalama, nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake huwa mnajali sana kuhusu chakula?

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula na hadi sasa ninavyosema hajala. Hakulala chumbani na nahisi kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa.

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sijui nimuache, sijui nikirud leo yeye sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli.

Yaani kama kawaida principle yangu mimi huwa sijibu sms za kijinga (nipo tu kimya). Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sasa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo?

Yaani najuta, umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vizur ila daily stress za kipumbavu tu yaani kila sku mtu ananunanuna bila sababu za msingi.

Yaani nimechoka nasubiria nikipigiwa simu na wakwe tu basi natoa talaka directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
She may be bipolar .Bipolar is a mental illness ,Dakika hiii mtu anacheka baada ya saaa moja mtu haongei .Wewe usimjibu wala nini , she may be a sadist too
 
Katika maisha hya tunayoyaishi yanachangamo nyingi Sana ndugu,, especially masuala ya ndoa,l.
Hata wazazi wetu wamepitia magumu mengi tu until tumefikia hapa tulipo ni uvumilivu pia uliowasaidia .
Njoo kwako Sasa, kinachooneka like, Kuna sababu kubwa tu between ww na yy ,as long as ww umesema huoni tatizo kwako ,Sasa fanya uchunguzi wa kutosha nn kimemsibu mkeo hadi kufikia hatua hyo ya Sasa ,ukipata njoo hapa tukushauri au Sasa ndo ufanye maamuz ukishajua sababu ya tatizo hilo.
Katukatu usijefanya maamuzi bila kubaini tatizo lipo wapi mzee.
By .Hon sir Bavaria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni wa kuchapa makofi, na akimpigia mama yake mwambie tu wew ndo mume km anaona hakuamini aje amchukue mwanaye. Akitishia kuondoka mpe nauli. Anakutikisa... wanawake kumbe huwajui kaka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni vema kuwa simba kwa muda kuliko kuwa kondoo milele mkuu naamanisha yabidi ufanye maamuzi kwa ajili ya maisha yako ikiwa mke anafanya hvi kwa rafiki je akija mzazi wako si itakuwa vita
 
Habari wakuu,
Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi

Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikuwa ni maisha mazuri sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa, nasema tena najutaaaaaa!

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa Serikalini. Pia najishughulisha na uwekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya kihivyo.

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kuwa na tabia za ajabu za kununa nuna kila siku bila hata ya sababu ya msingi.

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa huwa simjibu lolote.

Jana kuna workmate wangu(me) ambaye ni jirani yetu, mke wake amepata dharura kidogo so hayupo.

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kwenda hotelini kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home.

Tatizo lilianzia hapo. Wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki, kwanini sikumpa taarifa mapema? Ila nikamuelewesha kama imekuwa ni dharura na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida.

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kidogo usiku yeye hatopika tena chochote kile kwani amechoka. Nikakubaliana na yeye yakaisha, jamaa akaja kula na kuondoka.

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaanza kulalama kwamba chakula kimekuwa kidogo na kwa sababu nilileta mtu bila mpangilio. Nikamuambia “wewe kula mimi usiku sipendi chakula kizito so nitakula bites tu”

Bado akawa analalama, nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake huwa mnajali sana kuhusu chakula?

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula na hadi sasa ninavyosema hajala. Hakulala chumbani na nahisi kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa.

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sijui nimuache, sijui nikirud leo yeye sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli.

Yaani kama kawaida principle yangu mimi huwa sijibu sms za kijinga (nipo tu kimya). Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sasa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo?

Yaani najuta, umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vizur ila daily stress za kipumbavu tu yaani kila sku mtu ananunanuna bila sababu za msingi.

Yaani nimechoka nasubiria nikipigiwa simu na wakwe tu basi natoa talaka directly.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi na ww tofauti ni ndogo sana mkuu. Sema wa kwako ni mchoyo wa kwangu anauchangamfu flan hivi wa kinafiki kwa wageni.

Ila kununa ni kama kawaida. Yani unaweza kutoka job ukakuta umevutiwa mdomo mpaka unajiuliza kosa langu nini. Nimekuwa nikimuonya mara kwa mara kuhusu hiyo tabia kuwa inanikera lakini wapi. Na kimsingi inanikera kweli kweli.

Kali ya mwaka ni takribani wiki mbili sasa hatusemezani yaani nimenuniwa mpaka najiogopa ila watu wengine wakija anapoga nao stori vzr tu.

Sasa leo asbh nami nimemfanyia kituko, nimeamka na kupanga safari ya ghafla kwenda sehem ya mbali maana nimepata rikizo job. Nimeamua nimwache labda nambana coz kukaa wiki mbili bila kuongea na mwenza ndani ni maajabu.

Toka asbh mpaka muda huu hajanitext wala missed call. Sasa naanza kuwaza maamzi magumu. Japo nina mtoto mdogo but potelea mbali. Atakulia upande mmoja. Atakuja .

Haya manamake ya siku hizi hovyo kabisa. Ila nilichogundua ni shida ya malezi aliyokulia. Amekua kwa kudekezwa sana so bora tu arudi akadeke. Siwezi ishi na mwanamke kama utafikiri mimi ni mke mwenza wake.. eboo!!

Sitomfukuza ila matendo yake plus reaction yangu najua vitamwondoa tu.
 
Ahahahahaha...Mambo madogo sana hayo mkuu.
Huna haja hata ya kupokea pole.
Communication baina yenu ndio tatizo na pmoja na ww kutosimamia nafas yako vyema.
U have to agree in mtters regarding family orientation but whn u think u r not in gud terms, then u have to stand on what u think (n u r sure) is right.
Be bold ( not bull) in ur decisions and stand firm to show ur wife the right path.
Kuish na mwanamke unahitaji akili tu wala sio nguvu.
Acha kujitia mawazo kwa mambo unayopaswa kuysimamia na kuhakikisha yanaenda sawa.
Dig deep down to what is the root probem.

Kuhus kukutumia message za kutishia pia mpe shuke tu kuwa ninhatar sana kwake yy mwenyewe.Maana hata lilitokea jambo baya kwako asilohusika yy, hali itakua mbaya kwake.
Mikosi huwa inasubiri ufungue mlango tu iingie kuwatafuna, sasa ajitahid asiipe nafasi.

Umeshauri vzr sn. Lakini kuna mijianamke ukisimamia unachokiamini regardless kwamba kina manufaa kwa wote inaona unainyanyasa. Na hapo ndo matatizo yanaanzia
 
Ushauri murua kabisa
Ahahahahaha...Mambo madogo sana hayo mkuu.
Huna haja hata ya kupokea pole.
Communication baina yenu ndio tatizo na pmoja na ww kutosimamia nafas yako vyema.
U have to agree in mtters regarding family orientation but whn u think u r not in gud terms, then u have to stand on what u think (n u r sure) is right.
Be bold ( not bull) in ur decisions and stand firm to show ur wife the right path.
Kuish na mwanamke unahitaji akili tu wala sio nguvu.
Acha kujitia mawazo kwa mambo unayopaswa kuysimamia na kuhakikisha yanaenda sawa.
Dig deep down to what is the root probem.

Kuhus kukutumia message za kutishia pia mpe shuke tu kuwa ninhatar sana kwake yy mwenyewe.Maana hata lilitokea jambo baya kwako asilohusika yy, hali itakua mbaya kwake.
Mikosi huwa inasubiri ufungue mlango tu iingie kuwatafuna, sasa ajitahid asiipe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe kesi yako km yangu nilioa nikiwa na miaka 25 , kisa tu mimi mtumishi na wife ...mtumishi

Mwanzo mapenzi yalikuwa moto moto kweli

Lkn baada ya mwenzangu kuizoea ndoa yetu ndipo mambo yakabadilika kabisa

Na nikaamua kuachana naye .....
Ndipo moyo wangu ulipo pumua ....NASEMA VIJANA TUSIKIMBILIE KUOWA KWA KIGEZO CHA KUWA NA KIPATO KUNA MAMBO YATAKUGOMEA TU HUKO MBELE

POLE SANA ,....MAAMUZI MAGUMU HULETA FAIDA YA BAADAE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na ww tofauti ni ndogo sana mkuu. Sema wa kwako ni mchoyo wa kwangu anauchangamfu flan hivi wa kinafiki kwa wageni.

Ila kununa ni kama kawaida. Yani unaweza kutoka job ukakuta umevutiwa mdomo mpaka unajiuliza kosa langu nini. Nimekuwa nikimuonya mara kwa mara kuhusu hiyo tabia kuwa inanikera lakini wapi. Na kimsingi inanikera kweli kweli.

Kali ya mwaka ni takribani wiki mbili sasa hatusemezani yaani nimenuniwa mpaka najiogopa ila watu wengine wakija anapoga nao stori vzr tu.

Sasa leo asbh nami nimemfanyia kituko, nimeamka na kupanga safari ya ghafla kwenda sehem ya mbali maana nimepata rikizo job. Nimeamua nimwache labda nambana coz kukaa wiki mbili bila kuongea na mwenza ndani ni maajabu.

Toka asbh mpaka muda huu hajanitext wala missed call. Sasa naanza kuwaza maamzi magumu. Japo nina mtoto mdogo but potelea mbali. Atakulia upande mmoja. Atakuja .

Haya manamake ya siku hizi hovyo kabisa. Ila nilichogundua ni shida ya malezi aliyokulia. Amekua kwa kudekezwa sana so bora tu arudi akadeke. Siwezi ishi na mwanamke kama utafikiri mimi ni mke mwenza wake.. eboo!!

Sitomfukuza ila matendo yake plus reaction yangu najua vitamwondoa tu.
Yaani mm nilishagundua kabisa kuachana huwa kuna umiza unapoangalia watoto wako, lkn watoto isiwe gundi ya kukunasa uendelee kubaki hataki....

Akianza malue lue mwambie wazi nafikirie tuachane , akijibu kwa dharau chukua peleka kwao anza maisha upya ya nn uishi kwa kujikatia tamaa

Wakati sisi bado ni vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu colin_morgan pole kwa changamoto katika ndoa yako ndugu na kumbuka talaka sio suluhu ya tatizo.
Kwa uzoefu wangu na hawa viumbe hasa katika ndoa yangu, ndugu na marafiki nilijifunza hili.

Baada ya ndoa kuna kuwa na mapenzi motomoto yaan full kubabyshana na drama za kimapenzi after that,

Kinafuata kipindi cha msigano wa tabia kati yenu kila mmoja ananza kuishi uhalisia wake hapo kuna kuwa hakuna tena zile drama mitabia yote ya hovyohovyo ya mwanamke/mwanaume aliyojitahidi kuificha ataanza kuionesha hapa hivyo mkiendekezana tu migogoro na matatizo ndipo huanzia hapo.

Mbaya zaidi katika kipindi hiki wanawake waliowengi ndio hutaka kuwa kichwa na kutawala wanaume zao, yaani ndugu yangu hapo ukishindwa tu kulinda nafasi na mammlaka yako katika familia kama mwanaume ndio baasi tena.
 
Back
Top Bottom