NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Huyu ukisoma nyuzi na komenti zake utaona kabisa hampendi huyo Dada. Alimpata baada ya aliyempenda kumuacha. Na anaandika bado anampenda ila kaoa mwingine. Ana michepuko hadi kaipa mimba.Siku zingine anampiga. Sasa awe mkweli tu... huyo Dada kachoka.Colin
Maelewano na amani ya ndoa hayasababishwi na umri.
I married when I was 22 years in 1972 and was happy with my wedlock to date.
Mimi nadhani kutokana Maelezo unayoyatoa, you had a wrong spouse choice.
Inawezekana mke uliyeoa alikuwa bado au hakutayarishwa kwa maisha ya ndoa.
Usikimbilie tu kusema utaandika talaka utamwacha still you can marry the waste product.
Ongea na bestman wako aongee na matron mjaribu kujadili matatitizo ya unyumba wenu ikiwezekana couples hao (Bestman and matron) wamdirect how to carry on with your marital relationship and administration that is very possible you can change her attitude and enjoy a peaceful life.
Kama hao wadhamini wenu ni wadogo bado tafuta watu wazima but not your parents vitu kama hivi vinahitaji neutral people wasiofungamana na yeyete kati yenu.
Samaki mkunje Angli mbichi, don't just jump to divorce..divorce isn't the solution but dialogue is the way out.
As young couples you can enjoy the life with your wife kama mnapendana na mnaelewana you can be even going out every weekend kula bata unavyosema but here also you should have a firm control huyo binti atakusumbua.
Chunguza vizuri hii ndoa kama hakulazimishwa sababu anapokutishia umwache anataka kwenda wapi?
Au lastly pengine Jiko lako wewe haliivishi chakula.
Mkuu ,mwenzako kuna kimoja nishakipa mimba hapa na kutoa kinaogopa aisee full stress
Nakushauri uachane nacho maanaa majuto ni mjukuu
Niliwahi kumpoteza ninae mpenda sna kwa style hio
Tuliachana kwa maumivu makali mno hadi kila mmoja akamchukia mwenzake ni miaka 5 sasa ila bado maumiv yamesalia
Naamin wote tunajutia kwani tulipendana sna tena sana kutokana na mazingira tulijikuta tunashindwa kujishusha na mioyo yetu ilijaa chuki kubwa sna siku hadi siku miongoni mwetu
Natamani hata sku moja nipate nafasi ya kumwambia i am sory i was wrong but its too late
Sijui hata anaishi dunia gani tena , we acted as we are dead and reborn in another world
Habar zenu ndugu zangu wa jf
Hope mnaendeleza vyema mapambano ya kujikwamua na magumu ya maisha hususani ya awamu hii
Nimeona kidogo nije na hili ili tupate ku share some ideas
Kama kichwa cha habar hapo juu,
Kiukweli kila mmoja ana goals ambazo hua ana set at certain point of life na kuamini kwamba kutimiza hizo goals ndo itakua chanzo cha furaha yake yakudumu
Kiukweli mm binafsi ,niliset goals nyingi sna ambazo nahisi kwa asilimia 70 % nimezitimiza tayar
Kwa mfano,
1.Nilijipangia ukifika umri flani niwe na mke wa ndoto zangu
2.kua na ajira ambayo hainibani kabisa katika maisha yangu ,yaani ambayo inanipa mda mwingi wakua free
3. Kua na balance mda wote katika account yangu ambayo ni zaid ya 3 milion
4.kupata mtoto mzur wa ndoto zangu
Yote hayo nimeshayakamilisha yote tu
Na mengi mengineyo ...ambayo skuweza kuyaandika hapo juu
Ila baaada ya yote hayo chakushangaza ni kama vile bdo sjakamilisha hata kitu kimoja
Inafika mda nafeel as i have nothing yaan nakua sina furaha hata chembe bila hata kua na sababu yeyote ile
Nimejaribu mara kadhaa kuchepuka nilizani labda nakosa zile love romance za ujanani , atleast kuona kwamba inaweza nipatia furaha flani hivi but haikuongeza chochote zaidi ya kujiongeza ma stress tu,
Leo nimekaa na kuwaza mengi sna
Hivi hii hali ni kwangu tu wadau au
Naomba mawazo yenu wadau kwa kweli
Maaana kwa maelezo haya nahisi hata ikitokea nikamiliki , ndege na mengineyo bado sitoweza kua na pure happiness yakudumu maishani mwangu
Nasubiri maoni yenu wadau
Maaasalaam.
I lost what i madly loved ,ila sio sababu ya msingi kwanini sina furaha
Mke nilienae, yy ndo alinipenda sna hata km na mimi nimeridhika nae but my point is yy ndo ananipenda sna sana than i do
Umeongea vzur sna kamwene
Niliwahi itumia hii mke wangu nilimchapa mwisho akapiga smu kwa wazee kua alinisingizia tu kwa hasira haikua kweli
Niliwahi kumueka mdada kwenye fuckzone kipindi hicho nina broken heart baada ya kuachwa na mtu niliempenda sna
Huwezi amini hivi sasa ndo mke wangu na tuna mtoto mmoja
Ingawa nilimkuta bikra