Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Maana mwanamke usipo mfanya vilivyo huwa na visirani maneno maneno hasira nk.

Basi huyo mpeleke mahala sahihi akapate msaada wa kiakili.. inaonyesha ni mtoto hakupitia hatua hizo nyuma.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wala sijipi hizo shida nyengine aisee

Anaonekana hawez ishi mbali na familia yke cause ni mzanzibar na nimemleta huku tz bara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo ambayo wakati wa uchumba hukuyafanyia kazi kwa kuyachunguza lakini maadamu ushamuoa na una miaaka mitatu yeye inaonekana ndiyo hataki ndoa cha kufanya mpe uhuru aondoke ikiwezekana na nauli kabisa
 
Dah ...mbona ishu yako ni simpo sana....umemouna Dr Abdara lakini? 🤣 🤣🤣🤣

1576582942387.png
 
Miaka 3 hiyo ni ndoa siliasi kabisa.. Ongea na mshenga wako/Baba au Mama yake au mtu wa karibu nawe upande wa mkeo..
Mueleze masikitiko yako. Mtaa chini mtayamalizia Bi idhin llah..
Asipo jirekebisha muamie chumba.. Hali ikiendelea mpeleke kwao..
Chonde chonde usitoe talaka kiaghafla hivyo...
 
Habar wakuu ,
Natumai mko na furaha na amani tofaut na mim

Niende moja kwa moja kwenye topic , sku nying nilikua nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sna kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhis kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikua ni maisha mazur sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa , nasema tena najutaaaaaa

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa serikalin, pia najishughulisha na uekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya ki hivyo

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kua na tabia za ajabu za kununa nuna kila sku bila hata ya sababu ya msingi

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa hua sijaribu kumjibu lolote



Jana kuna work mate wangu ,,(man) ambaye ni jirani yetu mke wake amepata dharura kidg so hayupo

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kuenda hotel kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home


Tatizo lilianzia hapo , wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki kwann sikumpa taarifa mapema ila nikamuelewesha km imekua ni dharura tu na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida


Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kdg usiku yy hatopika tena chochote kile kwani amechoka nikakubaliana na yeye yakaisha jamaa akaje kula na kuondoka

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaadha kulalama kwamba chakula kimekua kdg na nn kwasabb nilileta mtu bila mpangilio nikamuambia ww kula mm usiku spendi chakula kizto so nitakula bites tu

Bado akawa analalama , nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake hua mnajali sana kuhusu chakula

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula , hadi sasa ninavyosema hajala , hakulala chumbani na nahis kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sjui nimuache , sjui nikirud leo yy sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli

Yaani kama kawaida principle yangu mm hua sijibu sms za kijinga ( nipo tu kimya )

Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo ??


Yaani najuta ,umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vzur ila daily stress za ki pumbavu tu yaani kila sku mtu ana nuna nuna bila sabbu za msingi


Yaaani nimechoka nasbiria nikipigiwa smu na wakwe tu basi natoa talaka directly



Najutaaa najutaa kabisa kuoa , hawa kunguru hawafugiki kabisa





Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaonaje mkuu, maana siku ya mwisho maisha ni yako maamuzi ni yako furaha ni yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom