Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

Tandika viboko mwanafunzi huyu, kuna wasichana wengi na uru mtaani, huyu mahusiano yenu ni ya mwalimu na mwanafunzi na akivuka line chapa viboko kuliko kutafuta miaka 30 jela wakati mtaani wapo wasichana wazuri
Ni kweli ila siku hizi walimu unakuta anakwenda field ana miaka 20 ,21 ,22 hivyo ni watoto wamekutana
 
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani. Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake. Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. nicpojibu sms analalamika kwamba namchunia. Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushuri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
Utunzi wako mzuri sana
 
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.

Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.

Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.

Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushuri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
We ushamla huyo binti, umeleta uzi kuzuga tu
 
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.

Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.

Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.

Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushauri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
Kuwa makini ticha, utajikuta unaishia kwenye kwenye kachumba kadogo halafu unakula kwa foleni na kuuanza usingizi wa usiku saa tisa alasiri.
 
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.

Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.

Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.

Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushauri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
Teacher GANG MO kama nakuona vile tukija kukuletea sabuni wakati huo upo lupango ndani ya sare zenu🤪🤪🤪
 
KWELI SASA HIVI HAKUNA WANAMUME UNASHINDWA NINI SASA KUKAKULA ENZI ZETU KESHACHEZEA MBAGOLI MENGI SANA MPAKA ANGEKOMA KUSEMA NAKUMIC
Kumbuka enzi zenu siku ilikuwa inahesabika mchana tu usiku n siku nyingine means mika 30 ilkuwa n sawa na 15 kavu lakin
Sasahv ukinyeshewa mvua 30 ni 30 kavu kwelikweli
 
Mkuu ,mwenzako kuna kimoja nishakipa mimba hapa na kutoa kinaogopa aisee full stress

Nakushauri uachane nacho maanaa majuto ni mjukuu
 
Una hamu ya kuishi miaka 30 jela kwa hiyari yako mwenyewe, siku ya hukumu yako hawa wanaokushauri upupu hapa hutamwona hata mmoja sana sana watakuja kuposti hukumu ilivyosomwa
 
Back
Top Bottom