Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Miaka 28 sio midogo kwa ndoa. Upo kwenye right track.

Inavyoonekana, unakuwa mpole ukidhani mambo yataenda. Kuwa na msimamo wako na ajue una misimamo yako.

Halafu mtie ujauzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wakuu ,
Natumai mko na furaha na amani tofaut na mim

Niende moja kwa moja kwenye topic , sku nying nilikua nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sna kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhis kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikua ni maisha mazur sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa , nasema tena najutaaaaaa

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa serikalin, pia najishughulisha na uekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya ki hivyo

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kua na tabia za ajabu za kununa nuna kila sku bila hata ya sababu ya msingi

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa hua sijaribu kumjibu lolote

Jana kuna work mate wangu ,,(man) ambaye ni jirani yetu mke wake amepata dharura kidg so hayupo

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kuenda hotel kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home

Tatizo lilianzia hapo , wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki kwann sikumpa taarifa mapema ila nikamuelewesha km imekua ni dharura tu na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kdg usiku yy hatopika tena chochote kile kwani amechoka nikakubaliana na yeye yakaisha jamaa akaje kula na kuondoka

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaadha kulalama kwamba chakula kimekua kdg na nn kwasabb nilileta mtu bila mpangilio nikamuambia ww kula mm usiku spendi chakula kizto so nitakula bites tu

Bado akawa analalama , nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake hua mnajali sana kuhusu chakula

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula , hadi sasa ninavyosema hajala , hakulala chumbani na nahis kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sjui nimuache , sjui nikirud leo yy sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli

Yaani kama kawaida principle yangu mm hua sijibu sms za kijinga ( nipo tu kimya )

Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo ??

Yaani najuta ,umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vzur ila daily stress za ki pumbavu tu yaani kila sku mtu ana nuna nuna bila sabbu za msingi

Yaaani nimechoka nasbiria nikipigiwa smu na wakwe tu basi natoa talaka directly

Najutaaa najutaa kabisa kuoa , hawa kunguru hawafugiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi

Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikuwa ni maisha mazuri sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa, nasema tena najutaaaaaa!

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa Serikalini. Pia najishughulisha na uwekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya kihivyo.

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kuwa na tabia za ajabu za kununa nuna kila siku bila hata ya sababu ya msingi.

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa huwa simjibu lolote.

Jana kuna workmate wangu(me) ambaye ni jirani yetu, mke wake amepata dharura kidogo so hayupo.

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kwenda hotelini kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home.

Tatizo lilianzia hapo. Wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki, kwanini sikumpa taarifa mapema? Ila nikamuelewesha kama imekuwa ni dharura na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida.

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kidogo usiku yeye hatopika tena chochote kile kwani amechoka. Nikakubaliana na yeye yakaisha, jamaa akaja kula na kuondoka.

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaanza kulalama kwamba chakula kimekuwa kidogo na kwa sababu nilileta mtu bila mpangilio. Nikamuambia “wewe kula mimi usiku sipendi chakula kizito so nitakula bites tu”

Bado akawa analalama, nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake huwa mnajali sana kuhusu chakula?

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula na hadi sasa ninavyosema hajala. Hakulala chumbani na nahisi kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa.

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sijui nimuache, sijui nikirud leo yeye sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli.

Yaani kama kawaida principle yangu mimi huwa sijibu sms za kijinga (nipo tu kimya). Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sasa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo?

Yaani najuta, umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vizur ila daily stress za kipumbavu tu yaani kila sku mtu ananunanuna bila sababu za msingi.

Yaani nimechoka nasubiria nikipigiwa simu na wakwe tu basi natoa talaka directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni FARA kwa neno moja na jepesi
 
Pole mkuu wewe na mie tuko meli moja na mie nilimuuliza hivyo hivyo why unajali sana kuhusu chakula wakati nanujua mimi alizila na kula kesho yake hajufanya chocjote na sikumsemesha jumapli ndugu yake alikuwa na ibada ya shukrani ilibidi ajilete mwenyewe hakuwa na hela umri huu hatukutakiwa kuoa kabisa.

so unajuta kuoa[emoji23]?

Tatizo sio umri, tatizo ni mwanamke ulochagua, ana uchoyo ambao we pia labda mwanzoni ulimwendekeza wajua mapenzi yakiwa yamenoga kila afanyacho baby unaona sawa tu!
 
Usioe vuta mda
1.Mkeo mchoyo huyo
2. Ana mambo mengi sana
3. Hana heshima
4. Alitafuta sababu muda mrefu tu, hiyo ya chakula imebust tu.
5. Usiweke kumwamini, huyo kuna kitu kina msukuma. Hawezi kudai kuachana bila mtu anayemhadaa!

Dah! Maisha haya bhaana!
Wakati unawaza kumtimua wife, mimi nawaza mwakani nikimpata nioe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anakudharau na Dawa hapo ni Wewe kumuambia kama anataka kuondoka Njia nyeupe aende na Akijaribu kufanya ivo Kata mawasiliano nae kabisa mimi natamani sana nikutane na mwanamke kichwa maji kama huyo ata just for temporary lazima akae kwenye line mana ntapotea ata wiki bila kumpa taarifa yoyote
 
Habari wakuu,
Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi

Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikuwa ni maisha mazuri sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa, nasema tena najutaaaaaa!

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa Serikalini. Pia najishughulisha na uwekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya kihivyo.

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kuwa na tabia za ajabu za kununa nuna kila siku bila hata ya sababu ya msingi.

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa huwa simjibu lolote.

Jana kuna workmate wangu(me) ambaye ni jirani yetu, mke wake amepata dharura kidogo so hayupo.

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kwenda hotelini kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home.

Tatizo lilianzia hapo. Wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki, kwanini sikumpa taarifa mapema? Ila nikamuelewesha kama imekuwa ni dharura na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida.

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kidogo usiku yeye hatopika tena chochote kile kwani amechoka. Nikakubaliana na yeye yakaisha, jamaa akaja kula na kuondoka.

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaanza kulalama kwamba chakula kimekuwa kidogo na kwa sababu nilileta mtu bila mpangilio. Nikamuambia “wewe kula mimi usiku sipendi chakula kizito so nitakula bites tu”

Bado akawa analalama, nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake huwa mnajali sana kuhusu chakula?

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula na hadi sasa ninavyosema hajala. Hakulala chumbani na nahisi kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa.

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sijui nimuache, sijui nikirud leo yeye sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli.

Yaani kama kawaida principle yangu mimi huwa sijibu sms za kijinga (nipo tu kimya). Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sasa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo?

Yaani najuta, umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vizur ila daily stress za kipumbavu tu yaani kila sku mtu ananunanuna bila sababu za msingi.

Yaani nimechoka nasubiria nikipigiwa simu na wakwe tu basi natoa talaka directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
Colin
Maelewano na amani ya ndoa hayasababishwi na umri.
I married when I was 22 years in 1972 and was happy with my wedlock to date.
Mimi nadhani kutokana Maelezo unayoyatoa, you had a wrong spouse choice.
Inawezekana mke uliyeoa alikuwa bado au hakutayarishwa kwa maisha ya ndoa.
Usikimbilie tu kusema utaandika talaka utamwacha still you can marry the waste product.
Ongea na bestman wako aongee na matron mjaribu kujadili matatitizo ya unyumba wenu ikiwezekana couples hao (Bestman and matron) wamdirect how to carry on with your marital relationship and administration that is very possible you can change her attitude and enjoy a peaceful life.
Kama hao wadhamini wenu ni wadogo bado tafuta watu wazima but not your parents vitu kama hivi vinahitaji neutral people wasiofungamana na yeyete kati yenu.
Samaki mkunje Angli mbichi, don't just jump to divorce..divorce isn't the solution but dialogue is the way out.
As young couples you can enjoy the life with your wife kama mnapendana na mnaelewana you can be even going out every weekend kula bata unavyosema but here also you should have a firm control huyo binti atakusumbua.
Chunguza vizuri hii ndoa kama hakulazimishwa sababu anapokutishia umwache anataka kwenda wapi?
Au lastly pengine Jiko lako wewe haliivishi chakula.
 
Ahahahahaha...Mambo madogo sana hayo mkuu.
Huna haja hata ya kupokea pole.
Communication baina yenu ndio tatizo na pmoja na ww kutosimamia nafas yako vyema.
U have to agree in mtters regarding family orientation but whn u think u r not in gud terms, then u have to stand on what u think (n u r sure) is right.
Be bold ( not bull) in ur decisions and stand firm to show ur wife the right path.
Kuish na mwanamke unahitaji akili tu wala sio nguvu.
Acha kujitia mawazo kwa mambo unayopaswa kuysimamia na kuhakikisha yanaenda sawa.
Dig deep down to what is the root probem.

Kuhus kukutumia message za kutishia pia mpe shuke tu kuwa ninhatar sana kwake yy mwenyewe.Maana hata lilitokea jambo baya kwako asilohusika yy, hali itakua mbaya kwake.
Mikosi huwa inasubiri ufungue mlango tu iingie kuwatafuna, sasa ajitahid asiipe nafasi.
Naaaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
You have narrated the truth though very briefly.
The issue here is to take that woman for counselling first to their matron and best man or other senior experienced elders.
The girl just jumped to mans house but was not aware what marriage was it is time now to make her know that she can understand maintaining her position as a wife while on other hand understand who a husband is, when they have gone to this stage they can have a smooth happy life.
 
Mwanamke ana masikio matatu. Hilo sikio la chini usipoliziba vizuri hayo mawili ya juu hayawezi kukusikia. Sijui umenielewa??

Back
Top Bottom