Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Sipend kujisifia kwamba mm ni perfect kwenye bed ila yy mwenyew had anajiskia wivu sn kutokana na namna ninayomtimizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi kuchunguza sketi zake kama zina marinda?!?!
Ah wala sijipi hizo shida nyengine aisee

Anaonekana hawez ishi mbali na familia yke cause ni mzanzibar na nimemleta huku tz bara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu ni wa ajabu but jaribu kuchunguza dubri kama haimuwashi.
 
Siku zote inabidi ujue tabia za kabila la mkeo..Wanawake wa kizanzibar wanapenda kudekezwa sana.. Wenyewe waume zao kule wameshawazoea kuwadekekeza...
Kuna Baba yangu mdogo alioa huko aliendeshwa puta kwa mdeko... Mwisho wa siku Mke akamkimbia akaolewa kwingine akamuachia watoto...
Na kuna wengine kama watatu hivi nawajua stori ni hizohizo...
Sasa jifunze kudekeza Baba..
Hata mim ni mzanzibar mkuu naelewa kuhusu mdekezo na wanawake wetu wa kizanzibar na nakua nafanya hivyo pale inapostahili ila hili limezidi kabisa ni zaid ya mdekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu kwa hiyo vijana wote ambao hawajaoa una washaurije? Na kwa uzoefu ulioupata umri sahihi wa kuoa walau uanzie miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja na maamuzi yake mkuu siwezi kushaur katika hilo

Ninachosema mm najuta kuoa tena najuta sna sjui hata nilipatwa na nn

Kwanza ningekua mbali sna hata kimaendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wakuu ,
Natumai mko na furaha na amani tofaut na mim

Niende moja kwa moja kwenye topic , sku nying nilikua nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sna kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhis kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikua ni maisha mazur sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa , nasema tena najutaaaaaa

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa serikalin, pia najishughulisha na uekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya ki hivyo

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kua na tabia za ajabu za kununa nuna kila sku bila hata ya sababu ya msingi

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa hua sijaribu kumjibu lolote



Jana kuna work mate wangu ,,(man) ambaye ni jirani yetu mke wake amepata dharura kidg so hayupo

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kuenda hotel kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home


Tatizo lilianzia hapo , wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki kwann sikumpa taarifa mapema ila nikamuelewesha km imekua ni dharura tu na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida


Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kdg usiku yy hatopika tena chochote kile kwani amechoka nikakubaliana na yeye yakaisha jamaa akaje kula na kuondoka

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaadha kulalama kwamba chakula kimekua kdg na nn kwasabb nilileta mtu bila mpangilio nikamuambia ww kula mm usiku spendi chakula kizto so nitakula bites tu

Bado akawa analalama , nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake hua mnajali sana kuhusu chakula

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula , hadi sasa ninavyosema hajala , hakulala chumbani na nahis kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sjui nimuache , sjui nikirud leo yy sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli

Yaani kama kawaida principle yangu mm hua sijibu sms za kijinga ( nipo tu kimya )

Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo ??


Yaani najuta ,umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vzur ila daily stress za ki pumbavu tu yaani kila sku mtu ana nuna nuna bila sabbu za msingi


Yaaani nimechoka nasbiria nikipigiwa smu na wakwe tu basi natoa talaka directly



Najutaaa najutaa kabisa kuoa , hawa kunguru hawafugiki kabisa





Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ilinitokea,nilikua na bint akiwa na miaka 21,akawa na tabia hizo,mkigombana tu tuachane nirudi kwetu,alishaondoka kama mara 2 baada ya muda let say week 3 unamfuata,mara mwisho nilienda safari Mwanza kikazi kikazi ikatokea misunderstanding kidogo akasepa,nikiwa huko nikawa nambembeleza arudi hataki ananiambia yeye kwangu hatarudi tena nifanye mpango tu nioe,nikaona hii ni ZEREU sasa,nikampotezea sikumtafuta na nikatafuta bint nikaongea naye nikampa ABC nikarudi naye kwangu kimya kimya bila kumwambia,baada ya kama week hivi akatinga home aliambiwa nimerudi ila hakujua kama nimerudi na msichana,alipomuona huyu mke mpya akaishiwa pozi na kuondoka,akarudisha mapenzi kwa kasi ya radi,nikaanza kupiga naye mechi za ugenini,baada ya miezi mitatu yule bint mgeni nikampa nauli akarudi kwako alipojua tu huyu kaondoka akarudi home,tangu arudi yale maneno ya kwamba nirudi kwetu sijayasikia,huyu wa kwako akisema anarudi kwao mruhusu arudi na usimtafute,haitapita miezi 2 hajakutafuta akitaka kurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja na maamuzi yake mkuu siwezi kushaur katika hilo

Ninachosema mm najuta kuoa tena najuta sna sjui hata nilipatwa na nn

Kwanza ningekua mbali sna hata kimaendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwenye neno ushauri niweke mtazamo, naamini kuna vitu umejifunza ambavyo kwa pamoja vinaitwa uzoefu,, so kupitia uzoefu huo ulioupata kuna lolote unaloweza kuwaambia vijana wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana colin_morgan
Sioni kama unatakiwa kujutia kwa kuoa katika umri ulionao sababu ulioa kwa upendo bila kushurtishwa.
Unatakiwa ujiulize kama mwenzako nae aliingia kwenye ndoa kwa upendo, au kuna vitu alifata, au kuna maisha aliyategemea sasa hayapati. Kama alipenda vitu kuliko wewe basi huwezi mbadilisha mtakua mnasumbuana kila siku.
Maisha ya kutishiana kuachana kila mara yanaua upendo, yanapoteza uaminifu na kujenga uadui.
Maisha ya ndoa yanataka kila mmoja awajibike; mke kuheshimu mume na mume kumpenda mke sio kushindana na kulaumiana
Sababu moyoni mwako una hakika hujamtesa usiumie, mwacha aende duniani huko akakutane na mabaharia ndio atajifunza
 
Mwnzo ilikua hivyo mkuu, yaan akinuna mm najali sna ila now akinuna mm hata habar sin naendelea na ratiba yngu nahis ndo zaid inamtia wazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Keep on doing that atakuelewa tu.
Nothing bad kama kuachana.
Usiachane nae.
Kipindi mna Amani tumia hicho kipindi vizuri.
Avoid separation kwa gharama yoyote ile.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku nawaambia watu hapa kama hujaoa,ujaribu kufikiria hilo dude. Nikiwaambia hivyo watu wananijia kwa mawe. Sasa basi mdogoangu wewe unafuu wako ni kwamba hata yeye mwenyewe anataka umuache. MPE TALAKA HARAKA SANA,USIJARIBU KUSITISHA HILO ZOEZI LA TALAKA,utakuja kujuta zaidi ukisitisha hilo zoezi la talaka sasa. Hizo sms unazoandikiwa nae usizisome,ila usizifute kwa sasa,zipitilize tu,zitakuongezea strees. Ukipigiwa na wakwe wala usiwe na wasiwasi hata kidogo. Waambie kwa nini mnaachaana,waambie siwezi tena kuendelea kuishi nae. Na usijaribu kukubali akuingize kwenye mawazo kama unavyowaza sasa. Furahi kuachana nae. Maisha daima ni furaha. Na ukiachana nae usijaribu kufikiria swala la kuoa,karibu wote tabia zinaendana. Nimesema wewe una unafuu,sisi wengine mke anaweza kununa hata mwezi hakusemeshi,kisa unakuta ni kidogo halafu kosa lake. Bahati yako nzuri kuna wengine hataki kuachana anang'ang'ana tu yupo hapo hapo tu,labda ksbb tu ya hali ya kipato uliyoitengeneza hataki kuondoka. Wewe anataka kabisa kuondoka huyo achana nae haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mbaya sana huu.
Tabia ya mtoa mada unaifahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ilinitokea,nilikua na bint akiwa na miaka 21,akawa na tabia hizo,mkigombana tu tuachane nirudi kwetu,alishaondoka kama mara 2 baada ya muda let say week 3 unamfuata,mara mwisho nilienda safari Mwanza kikazi kikazi ikatokea misunderstanding kidogo akasepa,nikiwa huko nikawa nambembeleza arudi hataki ananiambia yeye kwangu hatarudi tena nifanye mpango tu nioe,nikaona hii ni ZEREU sasa,nikampotezea sikumtafuta na nikatafuta bint nikaongea naye nikampa ABC nikarudi naye kwangu kimya kimya bila kumwambia,baada ya kama week hivi akatinga home aliambiwa nimerudi ila hakujua kama nimerudi na msichana,alipomuona huyu mke mpya akaishiwa pozi na kuondoka,akarudisha mapenzi kwa kasi ya radi,nikaanza kupiga naye mechi za ugenini,baada ya miezi mitatu yule bint mgeni nikampa nauli akarudi kwako alipojua tu huyu kaondoka akarudi home,tangu arudi yale maneno ya kwamba nirudi kwetu sijayasikia,huyu wa kwako akisema anarudi kwao mruhusu arudi na usimtafute,haitapita miezi 2 hajakutafuta akitaka kurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ,nishamruhusu aondoke na hela ya nauli nishampa nishamwambia milango iko wazi anaweza kuondoka muda wowote kuanzia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kwenye neno ushauri niweke mtazamo, naamini kuna vitu umejifunza ambavyo kwa pamoja vinaitwa uzoefu,, so kupitia uzoefu huo ulioupata kuna lolote unaloweza kuwaambia vijana wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana watafte pesa (maendeleo ) kwanza cause km upo kipind cha kupambana kutafta mafanikio na unakuta daily unakumbana na hizi stress za ndoa akili yako haitakua na ufanisi 100% kupambana na changamoto za maendeleo aisee

Baadae wataoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana colin_morgan
Sioni kama unatakiwa kujutia kwa kuoa katika umri ulionao sababu ulioa kwa upendo bila kushurtishwa.
Unatakiwa ujiulize kama mwenzako nae aliingia kwenye ndoa kwa upendo, au kuna vitu alifata, au kuna maisha aliyategemea sasa hayapati. Kama alipenda vitu kuliko wewe basi huwezi mbadilisha mtakua mnasumbuana kila siku.
Maisha ya kutishiana kuachana kila mara yanaua upendo, yanapoteza uaminifu na kujenga uadui.
Maisha ya ndoa yanataka kila mmoja awajibike; mke kuheshimu mume na mume kumpenda mke sio kushindana na kulaumiana
Sababu moyoni mwako una hakika hujamtesa usiumie, mwacha aende duniani huko akakutane na mabaharia ndio atajifunza
Asnte , ki ukwel sioni wap nilimuumiza
Kila ninapoona upendo wa mama yake kwangu ,hua mda wote nakua makini sana kutomkosea hata kidg kwan sitaki kuona upendo wa mama ake mzazi ukipungua kwangu hata kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asnte , ki ukwel sioni wap nilimuumiza
Kila ninapoona upendo wa mama yake kwangu ,hua mda wote nakua makini sana kutomkosea hata kidg kwan sitaki kuona upendo wa mama ake mzazi ukipungua kwangu hata kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi na mke kwa hofu kama vile sio mke wako. Wanandoa wanafurahiana ila wewe muda wote unaogopa kumkosea.
Hebu acha woga na anza kuishi kama baba/mume/kiongozi/kichwachafamilia/mwenyemji/mtoamaamuzi
 
Back
Top Bottom