Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

Habar wakuu ,
Natumai mko na furaha na amani tofaut na mim

Niende moja kwa moja kwenye topic , sku nying nilikua nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sna kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhis kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikua ni maisha mazur sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa , nasema tena najutaaaaaa

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa serikalin, pia najishughulisha na uekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya ki hivyo

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kua na tabia za ajabu za kununa nuna kila sku bila hata ya sababu ya msingi

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa hua sijaribu kumjibu lolote

Jana kuna work mate wangu ,,(man) ambaye ni jirani yetu mke wake amepata dharura kidg so hayupo

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kuenda hotel kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home

Tatizo lilianzia hapo , wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki kwann sikumpa taarifa mapema ila nikamuelewesha km imekua ni dharura tu na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kdg usiku yy hatopika tena chochote kile kwani amechoka nikakubaliana na yeye yakaisha jamaa akaje kula na kuondoka

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaadha kulalama kwamba chakula kimekua kdg na nn kwasabb nilileta mtu bila mpangilio nikamuambia ww kula mm usiku spendi chakula kizto so nitakula bites tu

Bado akawa analalama , nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake hua mnajali sana kuhusu chakula

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula , hadi sasa ninavyosema hajala , hakulala chumbani na nahis kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sjui nimuache , sjui nikirud leo yy sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli

Yaani kama kawaida principle yangu mm hua sijibu sms za kijinga ( nipo tu kimya )

Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo ??

Yaani najuta ,umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vzur ila daily stress za ki pumbavu tu yaani kila sku mtu ana nuna nuna bila sabbu za msingi

Yaaani nimechoka nasbiria nikipigiwa smu na wakwe tu basi natoa talaka directly

Najutaaa najutaa kabisa kuoa , hawa kunguru hawafugiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa lako kubwa huishi na mkeo kwa akili
 
Subiri ukikua utaishi na mkeo kwa akili na kwa furaha
 
Ah wala sijipi hizo shida nyengine aisee

Anaonekana hawez ishi mbali na familia yke cause ni mzanzibar na nimemleta huku tz bara

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote inabidi ujue tabia za kabila la mkeo..Wanawake wa kizanzibar wanapenda kudekezwa sana.. Wenyewe waume zao kule wameshawazoea kuwadekekeza...
Kuna Baba yangu mdogo alioa huko aliendeshwa puta kwa mdeko... Mwisho wa siku Mke akamkimbia akaolewa kwingine akamuachia watoto...
Na kuna wengine kama watatu hivi nawajua stori ni hizohizo...
Sasa jifunze kudekeza Baba..
 
haya maandishi tu, si ndio unikimbie sasa.

Ujue mapenzi upofu nasema hivi si ajabu nikipenda nakuwa zuzu[emoji3][emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weee kwa maandishi ayo mie ndukii
 
Habar wakuu ,
Natumai mko na furaha na amani tofaut na mim

Niende moja kwa moja kwenye topic , sku nying nilikua nawashangaa sna vijana wengi tu ambao wanaponda sna kitu kuoa.

Nilikua nikiwabeza sana na kuhis kama wamechanganyikiwa hivi kutokana na experience yangu katika ndoa kwani ilikua ni maisha mazur sna na yenye amani mno.

Ila sasa najutaaaaaa , nasema tena najutaaaaaa

Mimi ni kijana wa miaka 28 na ni muajiriwa serikalin, pia najishughulisha na uekezaji katika kilimo so kipato changu ni cha wastani sio kibaya ki hivyo

Kisa cha kuleta huu uzi ni mke wangu kua na tabia za ajabu za kununa nuna kila sku bila hata ya sababu ya msingi

Akinuna anakaa siku mzima hanisemeshi na kunitumia sms za vitisho na kunishikilia kwamba nimuache ingawa hua sijaribu kumjibu lolote

Jana kuna work mate wangu ,,(man) ambaye ni jirani yetu mke wake amepata dharura kidg so hayupo

Wakati natoka job nikaona si mbaya kwa vile nilimsikia anataka kuenda hotel kula nikaona niongee na wife ili aje kupata chakula cha mchana tu home

Tatizo lilianzia hapo , wife hakuridhika na hilo akaniambia hataki kwann sikumpa taarifa mapema ila nikamuelewesha km imekua ni dharura tu na kwa vile ni chakula cha mchana tu haina shida

Akakubali ki roho upande ila akanihakikishia kwamba chakula kikiwa kdg usiku yy hatopika tena chochote kile kwani amechoka nikakubaliana na yeye yakaisha jamaa akaje kula na kuondoka

Usiku tumekaa mezani tunataka kula wife akaadha kulalama kwamba chakula kimekua kdg na nn kwasabb nilileta mtu bila mpangilio nikamuambia ww kula mm usiku spendi chakula kizto so nitakula bites tu

Bado akawa analalama , nikamuambia hivi mbona nyinyi wanawake hua mnajali sana kuhusu chakula

Heee! Kesi ilianza hapo yaani aligoma kula , hadi sasa ninavyosema hajala , hakulala chumbani na nahis kampigia mama yake kumpasha uongo kwamba namnyanyasa

Yaani hivi ninavyokuambia nipo kazini ila hizo sms zinazoingia kwamba sjui nimuache , sjui nikirud leo yy sitomkuta na keshanielekeza ambapo nitakuta funguo ya nyumba na maneno kila aina kwa kweli

Yaani kama kawaida principle yangu mm hua sijibu sms za kijinga ( nipo tu kimya )

Asubuh nilijihudumia kila kitu nikatoka kuja kazini

Sa najiuliza kosa langu mimi ni lipi hapo ??

Yaani najuta ,umri huu nilitakiwa nile bata na kutumia ujana wangu vzur ila daily stress za ki pumbavu tu yaani kila sku mtu ana nuna nuna bila sabbu za msingi

Yaaani nimechoka nasbiria nikipigiwa smu na wakwe tu basi natoa talaka directly

Najutaaa najutaa kabisa kuoa , hawa kunguru hawafugiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku nawaambia watu hapa kama hujaoa,ujaribu kufikiria hilo dude. Nikiwaambia hivyo watu wananijia kwa mawe. Sasa basi mdogoangu wewe unafuu wako ni kwamba hata yeye mwenyewe anataka umuache. MPE TALAKA HARAKA SANA,USIJARIBU KUSITISHA HILO ZOEZI LA TALAKA,utakuja kujuta zaidi ukisitisha hilo zoezi la talaka sasa. Hizo sms unazoandikiwa nae usizisome,ila usizifute kwa sasa,zipitilize tu,zitakuongezea strees. Ukipigiwa na wakwe wala usiwe na wasiwasi hata kidogo. Waambie kwa nini mnaachaana,waambie siwezi tena kuendelea kuishi nae. Na usijaribu kukubali akuingize kwenye mawazo kama unavyowaza sasa. Furahi kuachana nae. Maisha daima ni furaha. Na ukiachana nae usijaribu kufikiria swala la kuoa,karibu wote tabia zinaendana. Nimesema wewe una unafuu,sisi wengine mke anaweza kununa hata mwezi hakusemeshi,kisa unakuta ni kidogo halafu kosa lake. Bahati yako nzuri kuna wengine hataki kuachana anang'ang'ana tu yupo hapo hapo tu,labda ksbb tu ya hali ya kipato uliyoitengeneza hataki kuondoka. Wewe anataka kabisa kuondoka huyo achana nae haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumilia mkuu, akinuna wewe endelea na mambo yako.
Usimsemeshe... Mimi naona anajitapa kwa sababu unajali akinuna.
Kununa ni kawaida.
Akinuna wewe endelea na mambo yako bana.

Jitahidi sana usiachane na Mke wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwnzo ilikua hivyo mkuu, yaan akinuna mm najali sna ila now akinuna mm hata habar sin naendelea na ratiba yngu nahis ndo zaid inamtia wazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom