Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,564
- 215,040
Nimekosa neno mkuu, nimecheka sana. Msichokoze visivyochokozeka.Ndiyo hapo mama mtu mzima atasema hakuna neno mie nitakuwa naleta ndom lol! Chezeya utamu weye!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekosa neno mkuu, nimecheka sana. Msichokoze visivyochokozeka.Ndiyo hapo mama mtu mzima atasema hakuna neno mie nitakuwa naleta ndom lol! Chezeya utamu weye!
Nimekosa neno mkuu, nimecheka sana. Msichokoze visivyochokozeka.
Baada ya kuambiwa is over mama alifikiria atakavyomiss utamu, akili zote zilihamia kwenye uroda na hajali kujilipua.Umeona eeh! unaweza kutamani ardhi ipasuke uingie humo. Mama mtu mzima mwenyewe kishajipatia tena kwa raha zake jamaa anataka kumfanyia ukatili wa kuvunja penzi. Yuko tayari kulinda penzi lao kwa kila hali ikiwemo kuingia kitaani kwenda kufanya varangati la nguvu ili kumuanika jamaa lol!
Baada ya kuambiwa is over mama alifikiria atakavyomiss utamu, akili zote zilihamia kwenye uroda na hajali kujilipua.
Aaaaaa hamna jipyaa kwani ulipenda peke yakoommh nawe upo kwenye majanga hayo
Pole acting pastor. Sasa wangu kuna post yako humu unalalama dushe halisimami. Umeshapona?Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.
E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.
Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.
Mwambie akinukishe. Itaisha sio zaidi ya wiki ila asipokinukisha utaendelea kuumia muda wote
E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.
Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
HIVI NA NYINYI PRE-FORM MSHAFUNGA SHULE??
Mpe mimba huyo yeye mwenyewe atatoka ndukiiiii