Najuta kuingia katika mahusiano ya mama mtu mzima

Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
2,780
Likes
1,197
Points
280
Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
2,780 1,197 280
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
8,871
Likes
10,965
Points
280
Age
27
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
8,871 10,965 280
Cv yako inachafuka hiv hiv...
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,588
Likes
31,146
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,588 31,146 280
ha ha ha
 
MPALESTINA MWEUSI

MPALESTINA MWEUSI

Senior Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
141
Likes
113
Points
60
MPALESTINA MWEUSI

MPALESTINA MWEUSI

Senior Member
Joined Jun 6, 2012
141 113 60
Mficha maradhi kifo humuumbua, subiri uumbuke tu, wakati wako umefika
 
Hute

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
6,584
Likes
4,861
Points
280
Hute

Hute

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
6,584 4,861 280
n
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu..... nimetokea kumchoka huyu mama NA juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki ...E bwana eeeh!!! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee ....Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flan hiv ....Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
ipm namba yake ya simu, ataacha kabisa kukufuatilia. tafadhali nipe namba yake ya simu.
 
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
3,469
Likes
2,921
Points
280
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
3,469 2,921 280
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu..... nimetokea kumchoka huyu mama NA juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki ...E bwana eeeh!!! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee ....Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flan hiv ....Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
Usionyeshe kumuogopa hata kidogo,akisema nakuja kwenu we mwambie njoo,kweni nini bhana.anakutisha tu huyo kaona unaogopa anajaribu kukupiga mkwala ulegee uendelee nae
 
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Messages
2,345
Likes
1,041
Points
280
Age
61
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2016
2,345 1,041 280
Kuokoka is the only solution for you dogo
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
13,231
Likes
22,156
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
13,231 22,156 280
Ni ving'ang'anizi haaaaooooooo…ilishanikumba hii makitu na hadi sasa bado anakuja kwa kasi sema tu vile namkazia
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Messages
5,827
Likes
2,093
Points
280
Age
48
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2015
5,827 2,093 280
mwambie aje aharibu tu wala haitafanya umrudie af pia msukumie kwangu ni pm namba zake
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,439
Likes
1,879
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,439 1,879 280
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu..... nimetokea kumchoka huyu mama NA juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki ...E bwana eeeh!!! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee ....Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flan hiv ....Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.

HIVI NA NYINYI PRE-FORM MSHAFUNGA SHULE??
 
Forum statistics

Threads 1,274,992
Members 490,865
Posts 30,529,819