Najuta kuingia katika mahusiano ya mama mtu mzima

Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
Mshamba WA mapenzi tu huyo m
Labda uje na sababu nyingine.

 
Mwambie aje alafu akifika wewe ndio unaanza kukinukisha kabla yeye hajaanza kukinukisha.Alafu ajue kuna wavuta ngwengwe zaidi yake.
 
yaani unapata papuchi ya bure bure then unamua kuiacha kiugomvi ugomvi, iasee iache kiselasela ili iendelee kukusave baadae
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom