Najuta kuingia katika mahusiano ya mama mtu mzima

Wazee wa slope utawajua tu kwao kulelewa na wamama,hata mkipigwa dole la kwenye mzutii mnaona sawa tu
 
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
hama mtaa, we zuzu kweli mchepuko unauonyesha mpk kwako
 
Umemtumia mama wa watu na zaidi umemdatisha. Sasa baada ya kumchoka unataka kumuacha. Muoe huyo ndo keshakuwa mke wako.
 
Unaka kwa baba na mama unatembea na mama watu wazima?

Duh
 
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
Mkuu sikiliza,mimi huwa nawapatiaga sana hao,kama kweli unamaanisha ulichoandika nitumie namba yake chemba halafu uone kama atakufuata tena!NOTE:kama ni tegemezi ishia hapo hapo nshachoka kuhonga mie
 
Yupo mkoa gan huyo??

Wamama si haba

Huwa niwatamu,

Kama.umelichoka,likikutisha wala usiogope,

Akileta UJINGA we fanya UPUMBAVU
 
Ndiyo itabidi tu uendelee kwa siri juu kwa juu, kila akitaka mchezo umpe vinginevyo Upastor wako kitaani utabumburuka.

Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
 
Ndiyo hapo mama mtu mzima atasema hakuna neno mie nitakuwa naleta ndom lol! Chezeya utamu weye!

Mwambie umepima HIV na umeonekana + na yeye akapime, akirudi -, unamwambia kwa usalama wako ni kheri tuachane.
 
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea kumchoka huyu mama na juzi kati nikaamua kumtamkia kwamba simtaki.

E bwana eeeh! Balaa lake sio dogo maana mama wa watu anatishia oohh! Sijui nitakuja home kwenu kukinukisha ili watu wote wajue, Mara nitakufuatilia yaani mpaka nimechoka aisee. Ukiangalia mtaani watu wananichukulia kama Pastor flani hivi. Sasa hapa sijui nimfanyaje huyu mama maana naona kama anataka kuniharibia gazeti kitaani.

Ushauri:
Vijano epukeni sana kuingia kwenye mahusiano na wamama maana wakipenda ndio washapenda hawasikii hawaambiwi.
Bila picha mimi sielewagi!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom