Najuta kuacha kazi

Najuta kuacha kazi

Unaacha kazi huna mradi hata wa 6M...binafasi siachi kazi mpaka niwe na Biashara 3 zenye capital ya 20M kilamoja zinazoniingizia turnover ya minimum 15M kwa mwezi...

Matter of time
 
Sina tatizo kabisa..nilikuwa nashiriki kwenye maendeleo ya fam kwa asilimia 100?imagine sometimes tulikuwa tunapata changamoto tunashauriana tukope kwenye kicobachangu theb tutashirikiana kulipa,but unakuta kwenye may be 2m na riba zake mimi nimelipa 1.5m yeye 500k coz unakuta muda wa marejesho umefika ukimwambia anadelay so inabidi nizame mfukoni mwenyewe
Nadhan tatzo litakuwa kwake kwenye kufanya maamuz jaribu kutafuta mtu wa karbu yake wanaesikilizan sana

Yapeleke maombi yko indirect way n kama unapga story na huyo mtu then unamwambia ungependa urud kazn

Akifkisha malalamiko yako kwa MR anaweza fanyia kaz

Note: usitumie njia kama unamlaumu mumeo hakikisha hapelek mawazo yko kama mtu unayelalamikia hyo situation atamaind afu atapotezea kabsa maan ataaona kama humuamini
 
Wanawake wengi hupenda kuvimba vimba wakiwa na hela. Hawana ile akili ya kutulia na kusikiliza waume zao na ndio maana waume hutumia mbinu za kuwaachisha kazi ili kuwakata mapembe. Unakuta mke hata mapenzi hatoi kwa wakati, mara asingizie kuchoka mara vile..ubishi ubishi tu usio na maana.

Njia nyepesi ya kumtawala mtu vyema ni kumfanya akutegemee kinamna flani. Lazma atakusikiliza tu na kujadili na wewe mambo ya kimaisha.
Na mshkaj naona kama vile hcho kitu alidhamiria kabsa ndo nimemwambia bidada ajitathimin mienendo yke kpnd ana hela
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Pole sana ila inakupasa kusimama imara kama mwanamke hodari, hizi changamoto unazopitia zisikuzoofishe, simama jitahidi fanya pidii upate kitu cha kufanya ili kikuingizie kipato, anza hata na kidogo kupambana, ujue vyanzo vya mapato sio kazi tu ya kuajiriwa, kikubwa angalia ni namna gani unapata pesa halali hata kama ni kidogo. Taratibu taratibu utapata mwanga na utaona fursa zilizojifisha. Ondoa aibu, acha kuogopa watu wanakufahamu acha kuona mapngufu ya mumeo. Mungu akikujalia afya na akili njema zitumie vizuri utafanikiwa. Hata hivyo sio vibaya ukamshirikisha mumeo hata kwa yale mapungufu unayoyaona kwake maana kuna watu hawajui kabisa mapungufu yao, wanadhani hayaonekani hasa mwanamke akiwa muoga au mkimya kupindukia. Vinginevyo pambana upate namna ya kupata hela za kujikimu Mungu atakufungulia milango mingine.
 
Kuna kitu nimekutumia PM, ingawa naona kama umeifunga PM yako.
Mkuu, nakushauri ungefunguwa PM yako ili upate msaada kwa hali hii yenye unaipitia. Na ikiwa utaona kama panatokea mtu mwenye kukuletea yasio kupendeza huko PM, basi nivyema ukam-block.
No bro,thank you i would appreciate to read your advise here on public
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Kiufupi maisha yanawezekana kwenu,isipokua unapata uchungu kwa maana moyoni mwako hujabeba jukumu moja la familia yako,umebeba majukumu ya familia tatu,kwako,kwa mama na wadogo zako..yaani majukumu ya familia tatu maana hao wengine nao ni watu.na kwa mtindo huo ni kweli hutaweza na utaishia kulalamika na kuvunja mji kwa sababu ya familia za wengine hata kama ni ndugu au mzazi,simaanishi uwaache kama walivyo lakini hai yako na mumeo haitoshi kutunza familia tatu na hata kama mngekua na huo uwezo bado mngejenga udhaifu kwa watu hao wengine,yaani maisha ya kiAfrika ni tatizo sana...kaa na familia yako itazame hiyo
 
Maneno ya kijiweni, hela ya mwanaume ni chungu, sisi mnatusemaga tunapenda hela ila ikifika kwenye kuhudumia familiya, wanawake ndo wanajitoa zaidi.

Yaan kuna wanaume bahili mpaka unajiuliza huyu yukoje?

Aisee sijawahi kuona wala kujua mshahara wa mke wangu unaendaga wapi? hata chumvi au kibiriti nanunua mwenyewe
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena

Pole sana madam Mwenyezi Mungu akutie wepesi hela ya NSSF itoke unyanyuke tena, nakumbuka mama yangu aliwahi niambia usikubali kuacha kazi kwa kushawishiwa utateseka sana acha kazi kwa hiyari yako hutoteseka, huu usemi natembea nao kama sala ya baba yetu .
 
Hapo pia kwenye ukali.. ndo penyewe. Ni noma sana.
Hongera kua na mwanaume anaejielewa.
Huenda, au pia itakuwa mme wake ni mkali.
Mimi nilipokaribia kujigungua niliacha kazi lkn na mkataba wangu ulikuwa mbioni kuisha. Hivyo tukakubaliana na Mr nitulie kwa muda ili nipate nafasi na muda wa kulea mtoto hasa kwa vile kituo changu kilikuwa mbali na kwangu.
Ila tangu nimejifungua, almost a year now sijawahi kupata changamoto za fedha na mme wangu wala sio kusema ana mshahara mkubwa sana. Na mara anasaidia kwetu au wadogo zangu waliopo chuo bila ht ya mm kujua, nakuja kujua badae sana tena kupitia kwa mama au wadogo zangu wenyewe. Na kwa hilo kila siku namshukru sana Mungu.
 
Asante sana kwa kuona hilo.
Mkuu, pamoja na kwamba haupo kwenye ndoa na labda umejiona umesema kitu ndogo sana.... Lakini nikuhakikishie tu kwamba umenena jambo kubwa na lenye maana sana.
Wana ndoa wakiwa marafiki (hawaogopani), watapata fursa ya kujadili kila jambo linalo jiri ndani ya familia yao, tena pasipo mmoja kuwa na maumivu kwasababu ya mwingine
 
Wanaume wengi hawapendi tufanye kazi ila pia hawataki tuwategemee kwa kila kitu. Akili kumkichwa, anaekushawishi kuacha kazi ilihali hakusaidii kwa lolote inapaswa ujitafakari sana maana kuna leo na kesho.
KAZI/ BIASHARA NDIO MUME WANGU WA KWANZA..... PERIOD😀
 
Kwanini mambo yako na mmeo unayaleta huku? Hadharani..sio ustaarabu hata kidogo,
First of all mlitakiwa Kwanza mumushirikishe Mungu, pili mumutafute mtu wa kiroho, kama mchungaji ambaye mnamuamini nyote wawili,(aliyewafungisha ndoa hua mzuri zaidi), tatu, ukweli ni kwamba mwisho wa siku mtaingia ndani na lazima mjifunze namna ya Ku communicate nyinyi wawili hamna namna lazima muongee..mkubaliane kutokubaliana..

NB; PIA ACHA KABISA KUTAKA KUFANANA NA NDOA/FAMILIA ZA WATU WENGINE..HUJUI WANAISHIJE NA KUNA NINI SIRI HUMO NDANI ..YESU NDIE ANATOA FURAHA KWENYE NDOA NA SIO KINGINE , NA ZAIDI UPENDO WA KWELI SIO WA MASHAKA
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
 
Muombee mumeo sana...kumbe ana salary kubwa hivyo, then what is the problem.. something must be wrong somewhere
Manofu,
Mkuu sidhani,unajua suala la yeye kutokunipa pesa au kunipa pesa kidogo sana (wakati ni mtu mwenye kipato cha kati,yaani salary yake si chini ya 3m per month)sikuwa naitilia maanani coz na mi nilikuwa nna kipato changu japo ni kidogo ila nilikuwa nnajimudu kwa almost kila kitu bila kumdisturb
 
Ushauri toeni hapa hapa...mnaficha nini

Kuna kitu nimekutumia PM, ingawa naona kama umeifunga PM yako.
Mkuu, nakushauri ungefunguwa PM yako ili upate msaada kwa hali hii yenye unaipitia. Na ikiwa utaona kama panatokea mtu mwenye kukuletea yasio kupendeza huko PM, basi nivyema ukam-block.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom