Najuta kuacha kazi

Najuta kuacha kazi

Umecheka Sana.... Naona wewe ni mmoja wa wapiga porojo wazuri sana kwa mkeo....🤣🤣
porojo zinakuwepo kias flan,,ila naangalia na upepo unavumaje,sometimes inabidi kuwa mkweli na muwazi hasa kwa vitu vya msingi
 
Sorry Uko mbeya?
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Kama umesoma we tafuta kazi kimya kimya tu usimwambie kama unatafuta kazi, ukipata ataamua mume au kazi, siku nyingine utajua kama maharage pia yanaweza yakawa chakula yakapikwa yakatiwa nazi na sukari watu wakala na uji au chai, shen.. taip!!
 
Hii tamaa, unataka kujiinua zaidi ya mme wako ili ufaidi nn?

Nyumbani hauli? Hauvai? Haulali? Ukiumwa hautibiwi? Unataka nn kingne? Unataka uwe na utajiri ili uanze kumdharai mme wako? Ebu kaa zako nyumbani zae watoto acha tamaa www mwanamke.
 
Ingekuwa mtu akijitimizia au kutimiziwa hayo ndio karidhika tusingetokea sisi tunaohitaji ‘Uhuru wa kifedha’ unaona binadamu anahitaji hayo basi njoo nikutimizie hayo mahitaji uwone.

Kila mtu anataka ananunue anachokitaka kwamuda anaotaka bila kumgusa au kwamisho lolote IDIO.
 
Dada ulifanikiwa kupata kazi? Kama bado, fikiria biashara ndogo ndogo, tafuta kijana akusaidie hate kutembeza ice cream kama mazingira ya kwako hayaruhusu kuuza. Umiza kichwa, uone nini unaweza fanya, angalau siku zisogee huku unatafuta kazi........ Ukipenda njoo pm tujadili business ideas ndogo ndogo kulingana na mazingira yako. Mimi ni ke, usiogope!
 
Pole. Hela yako ni ya muhimu hata iwe ndogo.

Hakuna anayejali mzazi wa mwingine

Kama uko dar nitumie namba private nikuunganishe na mtu, pengine Mungu anaweza fungua njia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point kubwa ni kumuomba Mungu tuu.

Pia kumbuka kila kitu sio permanent. Hivyo vumilia
 
Hapa hamna kitu kinachoitwa balance of story
Hii kusikiliza upande mmoja niliachaga zamani maana inaweza kukuletea mawenge
 
Maisha ya ndoa yana mengi huwezijua huyo mume ilikua ni ndoto yake mke wake awe tegemezi kwake kwa asilimia zote.

Lakini hukuna linaloshindikana kwenye mazungumzo! Naamini mlifikiana mwafaka.
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Tafuta kazi tena
 
That's not a good idea, My advice would have been preceded by some questions which of course are personal, by the way goodluck on what you're seeking
She want to be assisted but she think you are hunting her old pussy, childish
 
Sema nini bora haujawaza kuwa na mchepuko. Ila uliacha kazi kwani ni yeye alikusomesha??

Wadada kumbukeni na nyie mlikuwa na ndoto kwenye maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom