Najuta kuacha kazi

Najuta kuacha kazi

Pole sana mpendwa jitahidi kumkumbushia mara kwa mara, jitahidi pia kufanya maomba ya kazi.
 
dada ongea na mumeo vizuri mtaelewana vizui tu hamna tatzo kubwa hapo haya mambo mengine yataleta mtafuruku kwenye mahusiano yko ya ndoa. Just imagine mume wako akapita humu na akahisi ni wewe
 
Naomba nikulize swali

Je umewahi ongea na mume wako kwa hili?

Kipindi unakazi umewahi kufanya jambo lolote kwa ajili ya familia ya mumeo? Yan kununua vyakula au kuwatumia pesa wazazi wake bila ya yeye kukuambia ufanye hivo?

Kuna vitu vinaweza mpa mtu msukumo wa kufanya jambo kwa ajili yako au wazazi wako kama wewe unavifanya lakini kama hukuwahi fanya inaweza kuwa ngumu kidogo...

Lakini hujachelewa ongea na mumeo nina amini ataelewa tu

Mkuu nishajibu hili swali huko nyuma
 
Kiufupi maisha yanawezekana kwenu,isipokua unapata uchungu kwa maana moyoni mwako hujabeba jukumu moja la familia yako,umebeba majukumu ya familia tatu,kwako,kwa mama na wadogo zako..yaani majukumu ya familia tatu maana hao wengine nao ni watu.na kwa mtindo huo ni kweli hutaweza na utaishia kulalamika na kuvunja mji kwa sababu ya familia za wengine hata kama ni ndugu au mzazi,simaanishi uwaache kama walivyo lakini hai yako na mumeo haitoshi kutunza familia tatu na hata kama mngekua na huo uwezo bado mngejenga udhaifu kwa watu hao wengine,yaani maisha ya kiAfrika ni tatizo sana...kaa na familia yako itazame hiyo

Mkuu mimi mwenyewe kufika hapa nilipo ni watu ndo wamenifikisha..by the way sisi tumelelewa na single mom coz mzee alifariki,kwa kipato cha mamangu hawezi kumudu kuwaangalia wadogo zangu wote wawili yeye peke yake,hata hivyo afya yake siyo stable sana ana complications kubwa kubwa mwilini mwake so hata kazi atakiwi kufanya kupita kiasi wala hatakiwi kuwa na stress...asante though
 
Sasa inakuwaje unaishi na mtu hawezi kukusaport
Huyo mmeo ni mbinafsi na mchoyo sanaa mwambie hiyo tabia hujapenda mchane live kuwa huridhishwi
 
Mkuu mimi mwenyewe kufika hapa nilipo ni watu ndo wamenifikisha..by the way sisi tumelelewa na single mom coz mzee alifariki,kwa kipato cha mamangu hawezi kumudu kuwaangalia wadogo zangu wote wawili yeye peke yake,hata hivyo afya yake siyo stable sana ana complications kubwa kubwa mwilini mwake so hata kazi atakiwi kufanya kupita kiasi wala hatakiwi kuwa na stress...asante though

Tafuta kazi fanya kabisa na kama mme hajali na unampenda huwezi muacha fanya kazi mama
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
pole dada jitahidi kutafuta kazi utafanikiwa tu.
 
Ushauri toeni hapa hapa...mnaficha nini
Mkuu, kutowa ushauri hapa sio jambo la lazima zaidi ya utashi tu.
Na bahati njema niseme tu kwamba sijawahi kuona sababu ya kuficha jambo ikiwa nimekuwa na utayari wa kulisema.
 
Tatizo kubwa hapa ni wivu. Kwamba mume wako anawatunza wazazi wake lakini wewe huwezi kumtunza mzazi wako. Naamin hata yeye angekuwa hatumi hela kwao wala usingeumia kiasi hiki. Pia angekuwa haendi kwao, wala usingekuwa na shida. Women!Jealousy!
 
Mamy nimepita kwenye ndoa,Kosa ulilofanya ni kuacha kazi. Sijui mna ndoa ya aina gani ila mwanaume anaekushauri uache kazi wakati anajua hana mpango wa kukusaidia mtaji ni mbinafsi.
Anza kujikusanyia mtaji maana ukimsubiri yeye utaumia.Kusanya mtaji wako polepole anza kitu chako labda ndio atapata aibu aku support.
Wazo la kwenda home liondoe maana watakufurahia siku mbili baadae kwasabu huna msaada watakuona mzigo .Baki kwako pambana ufungue Biashara .
Na usipate stress hizo pesa zake imagine hazipo ili uwe na hasira ya kudunduliza zako.
 
Asante
 
Barikiwa my dear..huu naanza kuufanyia kazi leo leo..asante sana
 
Hiyo siyo ndoa, maana ya ndoa mnakuwa kitu kimoja kinachopelekwa kwa wazazi wako hivyohivyo kwa wazazi wake. Kwa kifupi hiyo ni ndoa kwa ajili ya kuunganisha vikojoleo tu majukumu yake mmeshindwa kuyaunganisha.

Inamaana bado chako ni chako na chake ni chake..

Zungumzeni na majukumu ya kifamilia myabebe bila kuwa na bias yoyote katika halo zote. Utafurahia maisha
 
Manofu,
Mkuu sidhani,unajua suala la yeye kutokunipa pesa au kunipa pesa kidogo sana (wakati ni mtu mwenye kipato cha kati,yaani salary yake si chini ya 3m per month)sikuwa naitilia maanani coz na mi nilikuwa nna kipato changu japo ni kidogo ila nilikuwa nnajimudu kwa almost kila kitu bila kumdisturb
Hapa ndipo kosa menu lilipo.. Ni ndoa yenye ubinafsi ndani yake
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Ungeanza kuwalaumu nssf kwanza kwa sababu unawadai. Mumeo humdai ni vile tu alikushauri uache kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom