Najuta kuacha kazi

Najuta kuacha kazi

Nami ndo maana nkamwambia awe na msimamo, wengine adi mnuniane wiki nzima akiona umekaza anashuka mambo yanaenda na ahadi zinaanza kutekelezeka, kitu mwanaume apendi ni kuona una jeuri ya kufanya mambo yako bila kumtegemea kwa kila jambo
Basi hapa ndo nilikuwa nafeli,maana huwa sina tabia ya kuomba twice
 
Jaribu kufkiria kipind unafanya kazi na unapata hela ulikuwa na mchango gani kweny familia , ulikuwa na tabia gan za tofaut

Usije mlaumu mshkaj kumbe ww ndo umeyataka

All in all badilika inaonekana ukishika hela kidogo unakuwa tofaut ndo maan inampa shida yy kukuamini tena

Anza kumjengea uaminifu utampa moyo wa kukupa mtaj tena

Sina tatizo kabisa..nilikuwa nashiriki kwenye maendeleo ya fam kwa asilimia 100?imagine sometimes tulikuwa tunapata changamoto tunashauriana tukope kwenye kicobachangu theb tutashirikiana kulipa,but unakuta kwenye may be 2m na riba zake mimi nimelipa 1.5m yeye 500k coz unakuta muda wa marejesho umefika ukimwambia anadelay so inabidi nizame mfukoni mwenyewe
 
MI ni mwanaume ila wanaume wengi ni kama Ma Mbwa, imeniuma sana, tafuta kazi tu taratibu; haya mandoa ni vidungo!

Mungu akisaidie na akupe wepesi ili hili jaribu likuache mapema, wanaume si watu wa kuamini kwenye pesa!

Amen
 
La Princesa pole sana
Kwanza jiondoe kwenye hilo group kwa sasa jipe muda wa kuchanganua mambo
Mzungumze na mume wako magumu unayopitia na kumuelewesha unahitaji kumtunza mzazi wako na pia akusaidie mawazo kwa pamoja kama familia namna ya kujikwamua kiuchumi na mengineyo.

Niliwahi kujiondoa shem wangu akanirudisha ikabidi nizuge mtoto ndo alibonyeza kitufe cha leave
 
🤣🤣🤣
Nami ndo maana nkamwambia awe na msimamo, wengine adi mnuniane wiki nzima akiona umekaza anashuka mambo yanaenda na ahadi zinaanza kutekelezeka, kitu mwanaume apendi ni kuona una jeuri ya kufanya mambo yako bila kumtegemea kwa kila jambo
🤣🤣🤣 we kwanini uwe na jeuri, KE mwengine haishi visa tu maana si ana hela yake...Anakuwa anavimba tu, kitu hata unachomkataza asifanye anafanya makusudi maana hata ukimaindi haimstui ye anapeta tu. Si anajiweza bana...

Wanaume wengi tunatumia hio mbinu kama weapon ya kuwafanya wake zetu wenye kipato na wanaojisahau kuwa submissive. Ubaya ni kuwa mke akianza kuwa tegemezi 100% mizinga inawahi kutuchosha ndio unaanza kumkwepa tu.
 
Kikubwa nachokiona hapo ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati yenu wawili. Ndoa yenu haina mawasiliano. Mme anashindwa kuwasiliana na wewe na wewe unashindwa kuwasiliana na mmeo
 
Jaribu kufkiria kipind unafanya kazi na unapata hela ulikuwa na mchango gani kweny familia , ulikuwa na tabia gan za tofaut

Usije mlaumu mshkaj kumbe ww ndo umeyataka

All in all badilika inaonekana ukishika hela kidogo unakuwa tofaut ndo maan inampa shida yy kukuamini tena

Anza kumjengea uaminifu utampa moyo wa kukupa mtaj tena
Wanawake wengi hupenda kuvimba vimba wakiwa na hela. Hawana ile akili ya kutulia na kusikiliza waume zao na ndio maana waume hutumia mbinu za kuwaachisha kazi ili kuwakata mapembe. Unakuta mke hata mapenzi hatoi kwa wakati, mara asingizie kuchoka mara vile..ubishi ubishi tu usio na maana.

Njia nyepesi ya kumtawala mtu vyema ni kumfanya akutegemee kinamna flani. Lazma atakusikiliza tu na kujadili na wewe mambo ya kimaisha.
 
Tafuta kazi nyingine
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
 
Sina tatizo kabisa..nilikuwa nashiriki kwenye maendeleo ya fam kwa asilimia 100?imagine sometimes tulikuwa tunapata changamoto tunashauriana tukope kwenye kicobachangu theb tutashirikiana kulipa,but unakuta kwenye may be 2m na riba zake mimi nimelipa 1.5m yeye 500k coz unakuta muda wa marejesho umefika ukimwambia anadelay so inabidi nizame mfukoni mwenyewe
You have a bold heart mamii, sema jamaa yako spana sana a.k.a mkono wa birika.🤣🤣🤣

Mtu mchungu wa kutumia hela yake anaboa sana yani ila yako mtumie. Sorry but mumeo ana kaliba ya kike. Cha msingi we saka kazi kimya kimya tu.
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Pole sana dada binafsi nilishakutana na matatizo ya kukosa kazi na nssf najua jinsi yanavyotesa moyo hasa pale ukiwa na watu wanakutegemea.swala la kutembelea wazazi,kupita kwenu ama la naamini mkikaa wawili hamshindwi kulipatia ufumbuzi. swala la kukosa kipato na kazi dada hilo lako wewe usimlaumu mtu hata mumeo hausiki, maana naamini hajakukatalia kufanyakazi.jinsi ya kufanya sasa, sijajua umesomea nini ila tafuta kibarua chochote ili mradi uanze kupata kipato hata kidogo kikusaidie kusaidia kutatua baadhi ya shida zako.ukishapata hicho kibarua mfano kufundisha chekechea, kuuza duka, n.k tafuta kile cha ujuzi wako taratibu.nakutakia kila la kheri
 
Kuna wanaume bahili hapa duniani sijahi ona. Wewe mwambie unatafuta kazi maisha ya kuwa tegemezi mama yako anateseka huyawezi, uobe atasemaje.
Na kweli anza kutafuta kazi ndani ya wilaya unayoishi na mmeo.
 
Hizo ni changamoto kwenye ndoa nyingi sana,fanya maombi na umshirikishe Mungu wako hiyo shida,utaona inavyokuwa rahisi.Wakati mwingine ni mtego wa shetani anakupima ili aone uvumilivu wako,na siku ukitoa mguu kwenye hiyo ndoa machungu yatakuwa mara mbili ya hayo...
 
Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???

Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani
Maneno ya kijiweni, hela ya mwanaume ni chungu, sisi mnatusemaga tunapenda hela ila ikifika kwenye kuhudumia familiya, wanawake ndo wanajitoa zaidi.

Yaan kuna wanaume bahili mpaka unajiuliza huyu yukoje?
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye nini😭😭kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Umesomea nini na uko mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom