fadinyo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 239
- 262
Dada angu una hurumaaa sana aa
Ni
Mme wa ndoa kabisa,miaka 6 sasa mkuu
Ni
Mme wa ndoa kabisa,miaka 6 sasa mkuu
I wish ungenijua vizuri usingesema hayo yote..ndugu zangu nawasomesha japo kwa tabu sana na vicoba bado nipo ila hata ununuzi wangu wa hisa umekuwa wa kusua sana..japo ninapita kwenye magumu i can still smile and thank God hata kwa yale madogo ninayoyafanikisha
Yaan sa zingine ukisubiria mood miaka itapita unakutana na kina chale tu best.....kuwa na msimamo kiasi atakuelewa
Mimi nimewasaidia kwao mangapi?yanayohitaji pesa na yasiyo hitaji?you are so selfish...Kwa hyo mm nitoe hela uwasomeshe wadogo zako! Unajisahau sana!!
Hv ingekuwa ni wadago zangu! Utawasomeshaa
Acha mawazo mgandooo
Asante,natafutaPole sana, tafuta kazi.....
Good for you my dear..sisi tuna watoto wawili
Wewe si ulifanyiwa send off, ulisahau nn kwa wazaz wako.Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
Hii brain power unayoitumia kuwaza kurudi kwenu kwanini usiitumie kuwaza mbinu za kuingiza kipato, including kutafuta kazi? Kurudi kwenu sio suluhisho na unaweza "ukajipanga upya" ukiwa hapo hapo. Hujachelewa, anza sasa.kuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu
Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..
Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa
Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO
PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
.Hii brain power unayoitumia kuwaza kurudi kwenu kwanini usiitumie kuwaza mbinu za kuingiza kipato, including kutafuta kazi? Kurudi kwenu sio suluhisho na unaweza "ukajipanga upya" ukiwa hapo hapo. Hujachelewa, anza sasa.
Shemeji mke wa bwana mdogo alileta hizo na jamaa akamwambia nenda. 5 months down the line mwanamke anataka kurudi na jamaa akagoma kabisa. Ilibidi mwanamke akalilie ukweni na mama mtu kumrudisha kwa nguvu mguu kwa mguu. Kuondoka home kwa hasira in most case inaharibu badala ya kujengaWanawake akili zao wanazijua wenyewe.. Wa kwangu kila siku alikuwa ananiimbiwa story za kurudi kwao, this time nimempa nauli aende akaanza kudata.