Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Dui wachaga sio wabahili kwa wake zao,huyo atakua kabila ya mbali
Duuh,huyo jamaa ni hatari...
Ni mchaga nini??
Duuh,huyo jamaa ni hatari...
Ni mchaga nini??
Mume wako wa kwanza ni kazi yako(nmekumbuka tu huu usemi wa mama angu)
Bado nipo mtegoni chief.......sawa muhenga nilikuona ile siku ya Jumanne





Mama yako alikujenga.Mume wako wa kwanza ni kazi yako(nmekumbuka tu huu usemi wa mama angu)
Nikweli mkuu, kwasababu tu binti yupo desperate na sasa watatumia nafasi hii kwa kujifanya wafariji na mwisho wa siku wataishia kumtafuna na wamuachie manyoya.Kuna watu wanataka wa take advantage..![]()
Nikweli mkuu, kwasababu tu binti yupo desperate na sasa watatumia nafasi hii kwa kujifanya wafariji na mwisho wa siku wataishia kumtafuna na wamuachie manyoya.
Kisha baada ya hapo atarudi hapa na simulizi zilizo batizwa majina (mrejesho)
Haswaaa sahivi nimekua naona alikua anaongea maneno ya maana sanaMama yako alikujenga.
Sisi wazee tunaweza tukawa mashahidi kwenye lugha za aina hii....
Watu hutofautiana ,mshukuru Mungu kwa kuwa na huyo mwelewaDuuh huyo jamaa katili,mimi changamoto za watoto wakati mwingine huwa zinanifanya nitamani kuacha kazi nilee watoto kwanza hadi wakue maana tunao watano na wamrpishana mwaka mmoja mmoja lakini mume wangu huwa ananitia moyo sana ananiambia watoto watakua tutasahau,kuacha kazi sio suluhisho, napata nguvu naendelea na kazi, sasa huyo wa kukwambia acha kazi halafu hakusapoti chochote ni katili sana
Good for you my dear..sisi tuna watoto wawiliDuuh huyo jamaa katili,mimi changamoto za watoto wakati mwingine huwa zinanifanya nitamani kuacha kazi nilee watoto kwanza hadi wakue maana tunao watano na wamrpishana mwaka mmoja mmoja lakini mume wangu huwa ananitia moyo sana ananiambia watoto watakua tutasahau,kuacha kazi sio suluhisho, napata nguvu naendelea na kazi, sasa huyo wa kukwambia acha kazi halafu hakusapoti chochote ni katili sana
Good for you my dear..sisi tuna watoto wawiliDuuh huyo jamaa katili,mimi changamoto za watoto wakati mwingine huwa zinanifanya nitamani kuacha kazi nilee watoto kwanza hadi wakue maana tunao watano na wamrpishana mwaka mmoja mmoja lakini mume wangu huwa ananitia moyo sana ananiambia watoto watakua tutasahau,kuacha kazi sio suluhisho, napata nguvu naendelea na kazi, sasa huyo wa kukwambia acha kazi halafu hakusapoti chochote ni katili sana
1.kwamda huwo mlioishi na mwenza wako kwenye ndoa + uchumba lazima utakua unamjua vizuri mwenza wako ilitakiwa uwe umejiongeza kwa namna yoyote ile upate njia mbadala ya kuingiza kipato mf kwa ela ya matumizi unayoachiwa kuibudget ukaingia vikoba mwisho wa siku ada za ndugu zako zisingekushinda
2. Mumeo akiwa chumbani kwenye mood nzuri ndosehemu ya kuomba vitu kama mitaji na mambo yanayoshabihiana na hayo,ruksa ya kwenda kwenu inaombwa hapo unataka kunambia hujafundwa wewe??miaka hiyo 6 yote kwenu hujaenda au?
Kuwa mpole na mnyenyekevu kwa mmeo atakupa ruksa ya kufanya haya unayoyaona magumu ila ukipewa nafasi usiinue mabega na kuonyesha dharau utaishia kuwekwa benchi
Cc Kingsmann
Asante sana..Mungu ni mwemaLingekuwa ni ndani ya Uwezo wangu ningewashauri wanawake wote kutokuolewa na wanaume Wabinafsi na Wachoyo. Kuna wanawake wanaishi maisha ya tabu kupitiliza wakati mumewe ana kipato kizuri tu na hamjali. Nimeshuhudia kwa majirani zetu wawili inasikitisha kiukweli.
Pole dada
Lengo lako ni kutoa ushauri au kuharibu ndoa ya mwenzio ,sijakupata mkuuHuyo ata kuwa sio mme wako wa ndoa vinginevyo atakuwa na mtindio wa ubongo.
Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???
Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani