Najuta kuacha kazi

Najuta kuacha kazi

Bila shaka kama ni mumeo wa ndoa jaribu sana kuangalia wapi ulimi ulikuponza .. zen ujiweke sawa na dhani mambo yatakua poa tuu.. wanaume hatujui kupigiana makelele na mwanamke action inatosha
 
Issue yako kidogo ipo very sensitive, na unapaswa upate mshauri mzuri na mwenye uzowefu mkubwa kwenye haya mambo za ndoa.
Otherwise, naona kama hapa unatoa details za kuhusu fimilia yako unnecessary. Na simaanishi kwamba humu sio sehemu sahihi, lahh.... Ninacho jaribu kumaanisha ni kwamba pengine jiandae kupokea kila utakalo kutana nalo humu (pengine ndio ukachanganyikiwa zaidi) kwasababu umeamua kuweka mambo yako mengi wazi (including you're husband details)
Mkuu nimefanya hivi ili nipate relief..sijawahi mwambia mtu yeyote changamoto hii niliyonayo na wala sitapenda,nimeona bora niweke humu coz i will stay anonymous..thank you anyways
 
Kuna kitu nimekutumia PM, ingawa naona kama umeifunga PM yako.
Mkuu, nakushauri ungefunguwa PM yako ili upate msaada kwa hali hii yenye unaipitia. Na ikiwa utaona kama panatokea mtu mwenye kukuletea yasio kupendeza huko PM, basi nivyema ukam-block.

Kwanini usitoe maoni yako hapa

Ili hata wasioomba msaada hapa ila wanashida kama yake wasaidike
 
Bila shaka kama ni mumeo wa ndoa jaribu sana kuangalia wapi ulimi ulikuponza .. zen ujiweke sawa na dhani mambo yatakua poa tuu.. wanaume hatujui kupigiana makelele na mwanamke action inatosha
May be,let me dig in though mimi huwa siyo mtu wa makelele sana sana nikiudhiwa huwa nalia tu halafu basi
 
Mkuu nimefanya hivi ili nipate relief..sijawahi mwambia mtu yeyote changamoto hii niliyonayo na wala sitapenda,nimeona bora niweke humu coz i will stay anonymous..thank you anyways
Pole kwa changoto unazo pitia, na nikutake tu uwe makini na usimamie kile unacho amini kama kitakupa unafuu.
Na... ukisha ipata hiyo relief baada ya kusemea hapa, what's next...??
 
Unaonekana muelewa sana dada,pole kwa unayopitia pengine kesho yako itakuwa bora zaidi ya leo inayokutesa....Usichoke kumuomba Mungu!


Kumbuka Mungu hatupi jaribu tusiloliweza
20191002_181236.jpeg
 
Pole kwa changoto unazo pitia, na nikutake tu uwe makini na usimamie kile unacho amini kama kitakupa unafuu.
Na... ukisha ipata hiyo relief baada ya kusemea hapa, what's next...??

I will talk to him politely for solution
 
Mkuu sidhani,unajua suala la yeye kutokunipa pesa au kunipa pesa kidogo sana (wakati ni mtu mwenye kipato cha kati,yaani salary yake si chini ya 3m per month)sikuwa naitilia maanani coz na mi nilikuwa nna kipato changu japo ni kidogo ila nilikuwa nnajimudu kwa almost kila kitu bila kumdisturb
ongea nae taratibu mueleweshe A to Z huenda akajifikiria kama hatakua mbinafsi
 
Aiseee pole sana Ila nadhan ni vyema ukamkalisha umweleze hayo ukiwa serious kabisa
Muulize anajisikiaje akiona wazaz wako wanaishi kwa taabu?
 
Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???

Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani
 
Yaani hakuna namna nyingine ya kuweza kurudi kazini? Au ukapata kazi sehemu nyingine?

Wanaume ni watu wajanja sana, hii siri nawapeni wanawake Usikubali kushawishika na mmeo/mpenzi wako kuacha kazi yaani ukikubali atakunyanyasa hatakusikiliza atakupuuza hadi akili ikukae sawa....

Hapo mwanaume tayari amesha kufanya koloni lake utapata tabu sana.... Ulipo kubali kuacha kazi ulifanya makosa makubwa sana.....
 
Maneno ya kusikia baada ya kupendana huwa so ya kutilia mkazo pole huenda mtaji alikuahidi mtaji wa shida so mtaji wa hela
 
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam kwa ukaribu

Toka nimeacha kazi,nakosa hata pesa ya mahitaji yangu muhimu,mtaji nilioahidiwa siuoni,nna madeni chungu nzima coz nawasomesha wadogo zangu wawili walikoko college(jamaa hajawi hata kunisupport na anajua situation ya nyumbani kwetu) inaniuma sana pale mama yangu anaponiomba hata elfu 20 nakosa ya kumpa wakati nikiwa kazini nilikuwa nampa pesa nyingi na kuhudumia fam bila shida..

Roho inaniuma coz ninashuhudia jinsi mme wangu na wanafamilia wenzie wanavyopanga budget ya matumizi ya wazazi wao (kwa whattsapp family group na amount ili wawapelekee wazazi wao wakati mimi mama yangu hana kitu kabisa..kwa kweli nimekata tamaa na sijui hata nifanye ninikuna wakati natamani hata kurudi kwetu ili nikajipange upya na kuanza upya maisha yangu ila nafsi inakataa

Note:mme wangu hajawahi kunikosea ni mambo kama hayo tu ndo yanayoniumiza,halafu anapenda niende kwao tu,hataki niende kwetu na wakati njia ya kwenda kwao ni lazima upite mkoani kwetu na mara nyingi tunakuwa na private car but kupita anakuwa mgumu sana..hivi wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa situations kama hizi mnazihandle vipi?NISAIDIENI NAKUFA kwa MAWAZO

PS: NSSF nao wananizungusha kweli kunipa kapesa kangu kadogo,nina imani nikikapata katanisaidia kuinuka tena
mwambie mwemzio
 
Doh!. Pole sana. Utakua kiaina unamuogopa mmeo. Means sio rafikiako kiviiile..
Me siko kune ndoa. Ushauri wangu unaweza kua ni wa ki-wapenzi zaidi.. ila pole sana

May be,but ni rafiki yangu ila naona kama yuko close sana na wifi yangu kuliko alivyo na mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom