Hahahaaa usiikate wew.. unataka sisi tuishije?
tumieni artificial
Hahahaaa usiikate wew.. unataka sisi tuishije?
Jivunie na usiumie kutoa hela zako kwa mwanamke
Wew mwanaume una balaa wew...unataka uuze adi nyumba ya urithi eee.
Yaan unataka utuhonge mimi na atoto kwa pamoja?
Mbinu shirikishi muhimu Ku pass from generation to generation.
tumieni artificial
Uwiii umejuajeee...
Yaan masai dada anatulemazia wanaume wetu wawe mario.
Hamna kujihudumia mwenyewe ingali wanaume wapo.
Tutakuwa tumetenda dhambi na kuwalemaza wanaume wasiwajibike
Uwiii usitamani kuwa mwanaume maana ni mateso tuu.
Jivunie kuwa mwanamke dia kazi yako ni kuzaa tuu kila kitu unapewa hahahaaaaaaaa
Na nyie mkiwa wapii
hahahaha lakini inabii uwe strong ili umlee mwanao awe strong kama ukipata wa kiume
inatakiwa uwe strong ili uzae watoto na uwaleee vyema kama ukipata mwanaume mtoto awe strong
hahahaaha najua tu ndo maana mpaka umefika hapa sijapita
ulikua umefunga vidole
ila ma sponsor wako ambao wanaweza wakakuoa hapo hapo kina mengi bado wapo
haahah cc Preta
FYI prado gonna be my one n only..just a matter of tym babe! haaa
Uwiii umejuajeee...
Yaan masai dada anatulemazia wanaume wetu wawe mario.
Hamna kujihudumia mwenyewe ingali wanaume wapo.
Tutakuwa tumetenda dhambi na kuwalemaza wanaume wasiwajibike
Pls I'll give you a car atoto
Tatizo ex shem wew unachepuka sana..kila uzi una mchumba na utakoma mwaka huu utaachwa adi na huyo mpya.
Hahahaaaa
Wew unaongelea million? Na akati wax ana marejesho alikopa kwenye microfinance.
Apo amekupangia kukupa elfu 50 tuu anajua ndo kahonga