Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,618
inapobidi tunasaidiana ila nina kanuni moja
siombi ela ila ukinipa sikatai
Mie nilijua ukipewa pia hupokei!! Kwani yeye anakusaidiaga kubeba mimba zile ulizosema unabebaga kila mwaka??
inapobidi tunasaidiana ila nina kanuni moja
siombi ela ila ukinipa sikatai
Kwa hapo wala sina ubishi, kwa huo ..m..to!!!
wewe utakuwa great sinker.Hahahaaaa shindwa na ulegee mimi ni Great thinker
Mie nilijua ukipewa pia hupokei!! Kwani yeye anakusaidiaga kubeba mimba zile ulizosema unabebaga kila mwaka??
Utakuwa unakutana na wanaojitambua pia, maana wale vichwa ngumu ulisema unawahonga mwenyewe.
sijawahi beba hata moja
wala sijawah mis period tangu my first menses
so sijajua kama atanisaidia ila kusaidiwa sio kusaidiwa uterus ya kumtundika mtoto
kimawazo,kusaidiwa majukum ya home na kipindi ambacho utakua uwez kufanya kazi atakua anakutunza
so bado still kuna msaada nauhitaj kwa mwanaume ila sio wa pesa kwa kiasi kikubwa kulinganisha na matunzo
Artificial haitoi hela bwana, maana na yenyewe inahitaji hela kuinunua.
leo jumapili nimuabishe shetani
sihongi ila nikiwa na mpenzi sioni miujiza kumsaidia pale inapobidi
yeye akinisaidia hawez kusema ananihonga na mimi nikimsaidia pia siwez kusema namhuhonga
kama kuna mahali nilisema nihizi porojo za jf tu
hahaa so zipuuze
am cute and i have everything to deserve someones money ila siwez utelekeza utu wangu kwa sababu ya pesa and those "am women staffs" najua role yangu kwenye mahusiano kwa hiyo ikitokea jamaa akaishiwa basi sioni so kumsaidia nitamkimbia kwa mambo mengine lakini sio swala la pesa japo napenda mwanaume anaejituma na mwenye dreams ambazo so far anafanya juhud kuzitimiza
na siwezi kuwa na mtu just for the sake of having mtu hata kama haeleweki noop
mi sio yesu siwezi badili maisha ya mtu lazima uwe na vionjo vyangu vile vile
hahahh kama kuna sehemu nilisema nahonga hizo ni porojo tu za jf naomba uzipuuze atoto
Khaaaah! Unaona sasa balaa lako, huo utu unaouongelea hapo ni upi?? Mie nishakuzoea na hizi swaga zako, we wahonge tu ila jua unawalemaza, bora umuhonge yule ambaye unajua atakuwa mzigo wako mwenyewe kuliko unawaacha wanaenda kuwa mizigo kwa wengine, kuna vya kusaidiana na mwanaume ila sio pesa aisee maana ni dhambi pia, atafute mie msaidizi bora wa kumsaidia kuzitumia au sio.
hahaha atoto bana
nitajiaidi sitawalemaza
hapo ndio utakuwa mwisho wa mbwembwe zao
wewe utakuwa great sinker.
am cute and i have everything to deserve someones money ila siwez utelekeza utu wangu kwa sababu ya pesa and those "am women staffs" najua role yangu kwenye mahusiano kwa hiyo ikitokea jamaa akaishiwa basi sioni so kumsaidia nitamkimbia kwa mambo mengine lakini sio swala la pesa japo napenda mwanaume anaejituma na mwenye dreams ambazo so far anafanya juhud kuzitimiza
na siwezi kuwa na mtu just for the sake of having mtu hata kama haeleweki noop
mi sio yesu siwezi badili maisha ya mtu lazima uwe na vionjo vyangu vile vile
hahahh kama kuna sehemu nilisema nahonga hizo ni porojo tu za jf naomba uzipuuze atoto
And now yo talking, ndio maana nakupenda muelewa sana.
Kweli umefanya kazi nzito lol pole mamy.
Hahahaaa! Ulipotelea wapi na wewe unaniachia kambi mwenyewe??