Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Mwambie umempata kibosile Manga ML mwanaume anayejua ku handle na yupo njia kuu.

Yaani hii njia kuu siijutii kamweeee!!! Duuuh bahati si ndio hizi, yeye kaangukia kwenye prado ya mabox basi haishi kunitamani tu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana tunawamega na kuwaacha, mbaya zaidi mkishakuwa used huwa hata hamtamanishi, ila kidume hata niwe na miaka sabini nitapata teenager mnzuri tu.

Hahahahaaaaa! cute b sijui kwanini nimecheka tu kwa huruma.
 
Last edited by a moderator:
wajua my atoto hawezi kuniacha, hata nimletee mchepuko home, hata nije nimelewa haniachi...

Hivyo vitisho unampa nani sasa?? Ndio ushaachwa hivyo, kama huamini endelea kuniwaza tu utanifaidi ndotoni.
 
Last edited by a moderator:
Nilifunga vidole nikajisahau kidogo nikaachia mara nakuona huyu hapa, nikasema tobaaaaa, ila nashukuru sekta nyeti hujaigusa ukaishia huko kufanya kazi na kuzaa.
Tatizo lako kuchunga kulikuharibu sio kosa lako.

hahahah kuchunga na kukamua ng'ombe
 
hahahaha lakini inabii uwe strong ili umlee mwanao awe strong kama ukipata wa kiume

Wa kiume hutakiwi kumlemaza hata kidogo, lasivyo atakuwa kama hiki kizazi ambacho kazi kulalama tuuu kazi hawafanyi kuuuutwa wanalumbana na mabinti na kuwatungia majina, unadhani wangekuwa wakomavu tungepata shida basiiii, hata wewe usingehonga kamweee teh teh.
 
hahahah kuchunga na kukamua ng'ombe

Kabisaaa ndio maana unatuharibia hawa wanaume, hebu lunguza kuwahonga bwana unawalemaza, unadhani watakuwa baba wa aina gani, sasa baba marioo unategemea watoto wawe na hali gani!!!
 
Si unaona usivyojielewa sasa!! Endelea kujipa mpyo na muda ndio huooo unakutupa mkono!!

Hahahaaaa na bado mie ndio mambo yananinyookea tu, dubai hiyoooo nikirudi hata sikukumbuki hata sura
hahahahaa... we haya tu, natamanije lakini....
 
Wa kiume hutakiwi kumlemaza hata kidogo, lasivyo atakuwa kama hiki kizazi ambacho kazi kulalama tuuu kazi hawafanyi kuuuutwa wanalumbana na mabinti na kuwatungia majina, unadhani wangekuwa wakomavu tungepata shida basiiii, hata wewe usingehonga kamweee teh teh.

hahaha mi sihongi ila pia sombi ela
 
Kabisaaa ndio maana unatuharibia hawa wanaume, hebu lunguza kuwahonga bwana unawalemaza, unadhani watakuwa baba wa aina gani, sasa baba marioo unategemea watoto wawe na hali gani!!!

inapobidi tunasaidiana ila nina kanuni moja
siombi ela ila ukinipa sikatai
 
hahahahaa... we haya tu, natamanije lakini....

Hii ni gusa unate, ukiondoka unarudi tu, ila sasa shida ni kwamba itategemea km bado nakuhitaji, ila kwa wewe endelea tu na hilo prado la mabox yo gud for each aza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom