Najivunia kuzaliwa wa kike

Ahaaa! Hapo nimekusoma, kumbe na wewe unahonga pia, kumbe kuna wanaume wanaoku-parasite huku wakiisifu hela yako ni tamu, wanakugegeda watakavyo na wanasepa na faranga? Unajiuza kwa mizee yenye makunyanzi ili ukawahonge vijana wa shughuli? Daaah! una shuruba wewe!

Wewe naweeeeeee..... aya najiuza
 
sasa mbona mara nyingi huwa mnalalamika sana kuwa mko kwn disadvantage? muwe mnjiamini ili tuwasifie siyo kulalamika tu. sisi wanaume tunahangaika kuwahonga, kuwalipia hoteli, kuwanunulia vitz kama nansi, nk alafu kwenye 6×6 nyie mnaenjoy kwa >80%! I wonder if God is a woman kama alivyosema Shaggy kwn wimbo wa STRENGTH OF A WOMAN
Nimependa ukivyomchomekea Mr. Bombastic.
 
Kuzeeka utazeeka umri wa kuzeeka ukifika ils shida zinafanya bint wa miaka 20 anaonekana wa miaka 80

Shida ni tafsiri tu hata huko unakosifia wengine wanatafsiri kuwa ni shida kama vile wewe unavyotafsiri kuwa kazi ni shia tehe tehe:decision:
 
Wanaume tukifeli tunaweza beba mizigo piga matofali kwenda kulima shamba ili mradi kieleweka lakini wadada wengi mkifeli na msipoolewa mnakuwa manunga yembe (Dada pao).
 
Wanaume tukifeli tunaweza beba mizigo piga matofali kwenda kulima shamba ili mradi kieleweka lakini wadada wengi mkifeli na msipoolewa mnakuwa manunga yembe (Dada pao).

Hahahaaa
 
Back
Top Bottom