Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Hahahaaa poleni.
Jitahidin muwe na watoto wa kike ili wasije kuteseka
Nataka kama million tano darling ili nianze nione kama italipa if not nijaribu nyingine.
Asante sana myne
My ex shemeji mambo?
Wapii wew wanaume wenye mikwala ya ivyo ni ma gogo kitandan kila saa anakwambia baby kalia.
So nitwkuja nile pesa zako ila najua hutanifanya adi nikikaa nijisikie kweli nimefanywa hahajhaaaa
Mkuu atoto plz nipe japo nafasi niongee ya moyoni jaman
Huyu mamy hataki kuhonga yeye anataka kazi na malipo so mwambie achanganue yebo sisi tunataka wahongaji.
Hahahaaa ex wako mwenyew anajua wew kichwa chako kilivyo hivyo humpi tabu kujua ni wew hahahaaa
Waowaji na wahongaji wamekuwa wachache mno siku hizi!..
huu uzi uko hot
binafsi najivunia kuwa mwanamke kwa kuwa napata nafasi ya kuwa mama na kuwa na watoto ambao mara nyingi nitabaki nao hata ikitokea vipi
ila natamani ningekua wa kiume nifanye kazi siku zote za mwaka ukitoa kuuumwa bila kujali period na mimba
Shemeji naomba niwe na wewe...mwenzako hanitaki!!
Huyu mamy hataki kuhonga yeye anataka kazi na malipo so mwambie achanganue yebo sisi tunataka wahongaji.
Haya ongea hayo ya moyoni