Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

Yaani wewe masai dada nilikuwa naombea usipite kabisa katika uzi huu maana unachangia kwa kiasi kikubwa mno kutuharibia wanaume, hivi nani alikufundishaga kuwahonga hawa watu nikamchape viboko!!!
Kwahiyo ndio kusema wewe kila mwaka unazaa jamani!!

hahahaaha najua tu ndo maana mpaka umefika hapa sijapita
ulikua umefunga vidole

ila ma sponsor wako ambao wanaweza wakakuoa hapo hapo kina mengi bado wapo
haahah cc Preta
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa! Kwani wewe si uliondoka kwa mbwembweeee kisa umepata prado mkangafu? Mbona hata wiki haijaisha unajirudisha? Subiri kwanza nitoke dubai na Kaboom maybe nitakufikiria.
bora mmalizane saa hivi..mana hiyo safari naenda kuformat ubongo wako wote..ukirudi humkumbuki mtu
 
Hahahaaaaaa! Kwani wewe si uliondoka kwa mbwembweeee kisa umepata prado mkangafu? Mbona hata wiki haijaisha unajirudisha? Subiri kwanza nitoke dubai na Kaboom maybe nitakufikiria.
FYI prado gonna be my one n only..just a matter of tym babe! haaa
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe masai dada nilikuwa naombea usipite kabisa katika uzi huu maana unachangia kwa kiasi kikubwa mno kutuharibia wanaume, hivi nani alikufundishaga kuwahonga hawa watu nikamchape viboko!!!
Kwahiyo ndio kusema wewe kila mwaka unazaa jamani!!

Uwiii umejuajeee...
Yaan masai dada anatulemazia wanaume wetu wawe mario.
Hamna kujihudumia mwenyewe ingali wanaume wapo.
Tutakuwa tumetenda dhambi na kuwalemaza wanaume wasiwajibike
 
Last edited by a moderator:
huu uzi uko hot
binafsi najivunia kuwa mwanamke kwa kuwa napata nafasi ya kuwa mama na kuwa na watoto ambao mara nyingi nitabaki nao hata ikitokea vipi

ila natamani ningekua wa kiume nifanye kazi siku zote za mwaka ukitoa kuuumwa bila kujali period na mimba

Uwiii usitamani kuwa mwanaume maana ni mateso tuu.
Jivunie kuwa mwanamke dia kazi yako ni kuzaa tuu kila kitu unapewa hahahaaaaaaaa
 
Shemeji naomba niwe na wewe...mwenzako hanitaki!!

Tatizo ex shem wew unachepuka sana..kila uzi una mchumba na utakoma mwaka huu utaachwa adi na huyo mpya.
Hahahaaaa
 
Unihonge how much? Sio unjitutumua hapa kumbe unanihonga ka milioni ka vocha tu.

Wew unaongelea million? Na akati wax ana marejesho alikopa kwenye microfinance.
Apo amekupangia kukupa elfu 50 tuu anajua ndo kahonga
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Huyu ex naye hata simuelewi, aliniacha kwa mbwembwe huyoooo, ila nashangaa kila mahali nilipo lazima ajitokeze kunizibia riziki zangu, khaaaah!

Mwambie umempata kibosile Manga ML mwanaume anayejua ku handle na yupo njia kuu.
 
Last edited by a moderator:
Sawa.
nitumie jina lako kamili ukafate tiketi yako airport,nitakufanyia booking go and return,njoo nikupeleke Forodhani,tukale honeymoon Zhotel ni full cocktail na kwenda mbele.nakusubirikwa hamu.

Sawa nakutumia na namba ya tigo pesa uanze kunitumia na hela ya kufanya shopping, nitengeneze nywele na mambo kama hayo alafu tiket itafuata
 
Ile sio kazi ile ni utraaaam tuu tena sisi tuna enjoy kuliko nyie
sema mimi nafurahi kuwa mwanaume nikifikiria kule labor wanavyoambiwa puuush puush push dah kwa hilo tu nashukuru kuzaliwa dume la mbegu ila nawapenda mmetuzaa shukrani kwa hilo
 
Wew unaongelea million? Na akati wax ana marejesho alikopa kwenye microfinance.
Apo amekupangia kukupa elfu 50 tuu anajua ndo kahonga

Mkuu cute 50 hela ndogo sana kuhonga mrembo classic kama ww na atoto
 
Last edited by a moderator:
sema mimi nafurahi kuwa mwanaume nikifikiria kule labor wanavyoambiwa puuush puush push dah kwa hilo tu nashukuru kuzaliwa dume la mbegu ila nawapenda mmetuzaa shukrani kwa hilo

Jivunie na usiumie kutoa hela zako kwa mwanamke
 
Ndio maana tunawamega na kuwaacha, mbaya zaidi mkishakuwa used huwa hata hamtamanishi, ila kidume hata niwe na miaka sabini nitapata teenager mnzuri tu.
 
Back
Top Bottom