VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Hahaaaaa vijeba ni siri ya kambi kabisa but money............kutembea haimati
Unafanya shingapi? Diva Beyonce
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa vijeba ni siri ya kambi kabisa but money............kutembea haimati
Hahahaaaa alafu kweli now kuna biashara nataka kuianzisha mpya utafanya vyema kama utanipatia mtaji.
Unafanya shingapi? Diva Beyonce
Home tena halaaa kuchuna ni kuchuna tu kwa sana bussiness as usual.
Hahaaaaa hela kubwa sana tu ambayo huwezi kuitoa wewe.
Aaah wanajitetea hapa ili tusipokee sijui kujiuza sijui umalaya, weee hela ya mwanaume unaachaje kuipokea kwamfano!! Kwanza wanaozitoa hata hawalalamiki wasio na za kutoa sasa wanaongea nusu mbingu ishuke.
Hahahaaaaa wanao honga kweli hawaongei hawa wanaoongea hapa wanahonga za vocha tuu
Hao wanao mind hawana cha kutoa wawqache wanaoweza kutoa watoe. Wao wang'ae tu sharubu.
Nataka kama million tano darling ili nianze nione kama italipa if not nijaribu nyingine.
Asante sana myne
Serious
Vp maza dingi wanakuita jembe!?
Unampango wa kuwapa mbinu ata wadogo zako!?
Kabisaaaaaa! Mwanaume wa kweli anayajua majukumu yake kwa mwanamke wake, tena hata huombi unapewa tu, na ukiomba ujue ni zile za kufanyia big isues hata yeye anashindwa kuchomoa maana anajua una target, sasa hao wenzangu na mie ni kelele tuuuuuuuu na kufungua nyuzi wakati wenzao wanafungua acount tu.
Wao waendelee kujifariji tu na hayo maneno yao.
Hii,! Mbona hii post imechangiwa sana? Imegusa wengi nini
Mwanaume wa kweli hata umuulizi yeye ni kutoa tu anajua mahitaji ya muhimu ya mwanamke sio hawa kina pangu pakavu tia mchuzi wanaona kumpa mwanamke ni kuhonga.
Hahaaaa tena hao wafungua nyuzi ndo hawana mbele wala nyuma.
Hahahaaa yaan kulelewa raha sana.
Nina simu mbil smart phone zote nimehongwa na aliyenihonga anatumia nokia tochi.
Na drive gar la gharama kuliko aliyenihonga.
Najenga ndo namaliZia malizia but aliye niwezesha anaishi kotaz kwa nn nisijivunie kuwa ke?
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Hahahaaa umenichekesha mkuu...
Anga za mbali kwenda ni kawaida sawa na kuumwa mafua ...mbona nyie usiku mkilalaga mnajichafua?
Sisi tunabeba mimba na kuzaa na ndo kazi tuliyopewa na Mungu lakini nyie mmepewa kazi ya kutafuta pesa. Kwa nini mnaumia sasa?
Kupindwa stail za mahaba ni moja kati ya starehe zetu maana tusipopidwa dushe haligusi sehemu muafaka so ni raha tuuu tena kama mimi singoji kupindwa najipinda mwenyew. Kufika kileleni kwetu haina shida kiviiile.
Ata na sisi tunatongozwa na wengi alafu tunachagua mmoja wa kumkubali hahahaaaaaa
Sema kingine mkuu