iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,954
- 1,503
Nnahisi kwa kuwa siaminigi kwenye true love na sijawahi kukutana na mtu wa kunishawishi nkajihisi na mie nnapenda au kupendwa inavyotakikanaHujapenda
Nnahisi kwa kuwa siaminigi kwenye true love na sijawahi kukutana na mtu wa kunishawishi nkajihisi na mie nnapenda au kupendwa inavyotakikanaHujapenda
Ipo siku utaelewa mkuuNnahisi kwa kuwa siaminigi kwenye true love na sijawahi kukutana na mtu wa kunishawishi nkajihisi na mie nnapenda au kupendwa inavyotakikana
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
ila brain iko njema.
Kama jimbo lipo wazi fanya fanya utangaze nia.
I luv u KaruceeNawazoom tu mnanidiskasi.
Huku manjiongeza munione sura.
You have put a spell on me KaruceeNawazoom tu mnanidiskasi.
Huku manjiongeza munione sura.
Unaweza kutengeneza mazingira huyo mbunge akajiuzulu jimbo lake ili aje akuunge mkono.


sasa hapa inabidi nitumie njia za polepole!! Unafanya manuvaa mtu anatangaza kujiuzulu akuunge mkonkNkutumie no ya slow slow ili uongee akupe maujanja?sasa hapa inabidi nitumie njia za polepole!! Unafanya manuvaa mtu anatangaza kujiuzulu akuunge mkonk
Nahisi utakua umefanya jambo jema sana mku.Nkutumie no ya slow slow ili uongee akupe maujanja?
lavu yuu tuuuuI luv u Karucee
Yes sure ujue hata dictionary ya kingereza ninayopenda kuisoma nimekuja gundua haijajitosheleza kutokana naukweli kwamba sijawahi pata maneno sahihi ya kukuelezea wewe .how wonderful

Ndo ushauli gan sasa mwenzetu yupo seriously.Kufa Mkuu mbingun hakuna shida !!