
Jipe time kaka. Alaf usi force kumsahau, hautafanikiwa. Jiweke busy sana na kazi zako, epuka kwenda sehem ambazo mlikuwa mkipenda kutembelea pamoja.Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Asante smart. Huu ndio ukweli halisi
Zungukia Mitaa ya Sinza au Kariakoo Mida ya kuanzia saa sita usiku for sure utamsahau kabisaNalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Choose your own happiness.solution?
Mioyo ya watu iko tofauti, saaa kama ww unasahau ndani ya muda mchache. Wako ambao hawawezi.Hivi jaman wanawapaga nini hadi mtu unaachana nae afu still roho inakuuma wengine tukiachana na mtu ndani ya masaa 72 tu nshakusahau wakati mwingine chini ya hapo
Nimekupata vyema. Kwenye suala lake kweli hapo jibu ni kumuomba Mungu ndiyo atafanikiwa hayo masuala ya kunywa pombe hayasaidiagi hata siku 1Mioyo ya watu iko tofauti, saaa kama ww unasahau ndani ya muda mchache. Wako ambao hawawezi.
Hiyo inaitwa true love. True love sio ngono tu, bali emotional attachment. Kuna spiritual connection.
Until hapo muhusika atakapo omba Mungu awatenganishe kiroho. Ndipo atapona
Hahah we unamtaka mtoa mada aone nini mida hio!?Zungukia Mitaa ya Sinza au Kariakoo Mida ya kuanzia saa sita usiku for sure utamsahau kabisa
Una point saba sema tatizo lako unaandika kizungu zaidi kuliko kikwetu, nalazimika kumshirikisha ras simba ili nikupate sawasawa, kuishi ughaibuni sana napo ni shida daaah! big up hata hivyoChoose your own happiness.
Speak to your heart.
You lost your love yes but it wasnt meant to be.
Take time to heal and learn from the mistakes while you focus on being a better man in future.
Una point saba sema tatizo lako unaandika kizungu zaidi kuliko kikwetu, nalazimika kumshirikisha ras simba ili nikupate sawasawa, kuishi ughaibuni sana napo ni shida daaah! big up hata hivyo