Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
- Thread starter
- #121
Kinachoniumiza zaidi ndugu ni mambo niliomfanyia sijui kama itakua rahisi kuyasahau nikikumbuka machozi yananitoka.Hapo ni mawazo tu. Unachotakiwa kufanya ni kutofikiria mazuri yake yote mliyofanya pamoja. Kuendelea kufikiria utazidi kujiumiza. Instead, fikiria kero maudhi, na karaha ambazo alishakufanyia, itakusaidia.


