Ungekuwa na time ungeandika na kukalimani kikwetu, nakufuatilia sana kila nikiona uzi/ mchango wako lazima niufuatilie sema shida inanikumba hapo tu maana kuna wakati unaandika hadi najiuliza huyu ni binti wa malkiaaaa niini! Kama umezaliwa nacho!Hahaaa.
Nitaacha basi.
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Ungekuwa na time ungeandika na kukalimani kikwetu, nakufuatilia sana kila nikiona uzi/ mchango wako lazima niufuatilie sema shida inanikumba hapo tu maana kuna wakati unaandika hadi najiuliza huyu ni binti wa malkiaaaa niini! Kama umezaliwa nacho!
Utakua uliwekeza sana kwahuyo mrembo, wakati mwingine tuwekeze kiasi mana hawa viumbe hawatabiliki.Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Asante sana Karucee.Choose your own happiness.
Speak to your heart.
You lost your love yes but it wasnt meant to be.
Take time to heal and learn from the mistakes while you focus on being a better man in future.
Unaumri gani mkuuNalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Heal
Weee mwanamke bana , sijui hata nikuambeje yaan , unakila kitu ambacho huwa napenda mwanamke awe nacho.Choose your own happiness.
Speak to your heart.
You lost your love yes but it wasnt meant to be.
Take time to heal and learn from the mistakes while you focus on being a better man in future.
jifunze next time never give your heart to woman/ girl utaepuka vingi......mwanamke mpe hela tu inatoshaNalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Heal sio heel
Uliwaacha au walikuacha ?kuna wanawake wana vitu vya pekee mzee.
Mimi uwa simsahau sheila.na Leah hawa wanawake.walikuwa na upendo Wa ajabu.nitazunguka kote lakini kuna muda uwa nawakumbuka.
Nin kitamsaidia ?Alcohol won't solve anything.