DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Thots [emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2]Hahah we unamtaka mtoa mada aone nini mida hio!?
Thots [emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2]Hahah we unamtaka mtoa mada aone nini mida hio!?
KulewaHivi raha ya pombe ni kunywa au kulewa
Itakuwa hujanywa pombe ya kutosha wewe[/QUOTE
Umewah kuonana nae au unam judge via jf.Weee mwanamke bana , sijui hata nikuambeje yaan , unakila kitu ambacho huwa napenda mwanamke awe nacho.
Nikweli kabisa ulichosema... Nanikweli kabisa sijawahi muona live wala hata simjui .Umewah kuonana nae au unam judge via jf.
All that glitters is not gold
Mkuu nakuelewa sana.Nikweli kabisa ulichosema... Nanikweli kabisa sijawahi muona live wala hata simjui .
Ila unajua nn , Nyota njema huonekana asubuhi , wala haiitaji kutumia nguvu au akil nyingi kujua Karucee ni super woman , wajua kipimo pekee cha kujua upeo wa mtu ni kusikiliza kwa umakini kile anachokisema..... Na naposema anakila kitu nachohitaji kwa mwanamke namaanisha ni Mzuri ( Uzuri wa mwanamke upo kichwan mwake mkuu)
Sasa mimi huwa napenda sana mwanamke kua na Akili yenye mawazo km yahuyu mkuu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa sura nao ni ingredients [emoji23][emoji23] nikweli ila sasa huo siwezi kuusemea mkuu maana simjui nasijawahi hata kumuona .Mkuu nakuelewa sana.
pamoja na uzuri wa upstairs ambao nakuunga mkono kwa 100% ila uzuri wa sura nao ni ingredient muhimu ya kuzingatiwa.
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa sura nao ni ingredients [emoji23][emoji23] nikweli ila sasa huo siwezi kuusemea mkuu maana simjui nasijawahi hata kumuona .
Ngoja ikitokea nmemuona nitakuletea mrejesho Swahiba !!
Mwambie achukue hatua ziphahahaa pole
Hahaaaha mkuuu [emoji23][emoji23][emoji23] jimbo liwe wazi humu ?? Nakulivyojaa watangaza nia??[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
ila brain iko njema.
Kama jimbo lipo wazi fanya fanya utangaze nia.
Si unajua wagombea ni weng ila wanaoshnda ni wachacheHahaaaha mkuuu [emoji23][emoji23][emoji23] jimbo liwe wazi humu ?? Nakulivyojaa watangaza nia??[emoji23]
Hilo nalifahamu mkuu ,ila kwa kautafiti kangu ilo jimbo lina Mbunge [emoji23]Si unajua wagombea ni weng ila wanaoshnda ni wachache
Unaweza kutengeneza mazingira huyo mbunge akajiuzulu jimbo lake ili aje akuunge mkono.Hilo nalifahamu mkuu ,ila kwa kautafiti kangu ilo jimbo lina Mbunge [emoji23]
HujapendaHivi jaman wanawapaga nini hadi mtu unaachana nae afu still roho inakuuma wengine tukiachana na mtu ndani ya masaa 72 tu nshakusahau wakati mwingine chini ya hapo