Najitaidi kulewa ili nimsahau lakini wapi?

Najitaidi kulewa ili nimsahau lakini wapi?

Nahisi utakua umefanya jambo jema sana mku.

Ama kweli wanaume hatutupan mkono
Bas kuwa na subra
naongea na kada mmoja wa chama kikuu kuu hahakiki kama namba hiyo inapatikana.[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Bas kuwa na subra
naongea na kada mmoja wa chama kikuu kuu hahakiki kama namba hiyo inapatikana.[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]
Kwa heshima na taadhima niseme nakuamin na nakutegemea sana km ndugu yangu.

Hili jimbo nivema siku moja likuite shemeji.
 
Kwa heshima na taadhima niseme nakuamin na nakutegemea sana km ndugu yangu.

Hili jimbo nivema siku moja likuite shemeji.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]

Na mim nafanya maomb hilo lifanikiwe chief
 
Hapo ni mawazo tu. Unachotakiwa kufanya ni kutofikiria mazuri yake yote mliyofanya pamoja. Kuendelea kufikiria utazidi kujiumiza. Instead, fikiria kero maudhi, na karaha ambazo alishakufanyia, itakusaidia.
 
Epika kufanya vitu ambavyo mlikua mnafanya pamoja, kama kunywa pombe, going movies nk. Utamsahau tu..
 
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.

Ukitaka kulewa unasahau fanya hivi, chukua k-vant ndogo moja, konyagi ndogo moja, safari kubwa moja, niagieni moja, choya lita moja, gongo vijiko vitano, sprite moja, balimi moja, pilsner king mbili changanya vyote kwenye ndoo ya lita kumi. Harafu jifungie ndani kunywa yote umalize then tafta sigara aina ya nyota vuta yote husipomsahau nipe namba yake ya simu.
 
Back
Top Bottom