Naishi naye ndio, Lakini...

Siyo atakuja kupiga, atakuwa anapiga tayari ndo maana hatilii maanani mchumbake kuishi na mke.
Huyo mchumba wako aliyekusamehe atakuja kukupiga pigo moja takatifu hadi utatamani umrudie huyo mwanamke uliyezaa naye na unayetaka kumuacha akahangaike na damu yako
 
Tatizo ni hisia.. Hisia zangu haziko kwake hata kidogo. Awali nilidhani kuwa, baada ya muda huenda ningeweza kujifunza kumpenda, lakini naona hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku
Usikubali kuongozwa na hisia. Hali halisi ndo kiongozi sahihi.
 
Mchuma janga hula na wa kwao washirikishe wazazi pengine wanaweza kuwa na msaada mkubwa zaidi ila hapa sina hakika sana anyway hope everything is ginna be okay.
 
Hahaa Hii Topic pia " diva ameicopy na kuirusha kwenye kipindi chake .... Anacho nikera ni kwamba

Sijui kwanini huwa hasemi kwamba huwa anazitoa hizo story Jamii forum
 
Mkuu nam nimeshangaa labda mtoa mada ndio kacopy huku kama siyo nasi watoe credit
Hahaa Hii Topic pia " diva ameicopy na kuirusha kwenye kipindi chake .... Anacho nikera ni kwamba

Sijui kwanini huwa hasemi kwamba huwa anazitoa hizo story Jamii forum
 
Ilikuwaje kwako?
 
Mkuu nam nimeshangaa labda mtoa mada ndio kacopy huku kama siyo nasi watoe credit
Hapana yeye ndiye huwa anaiba humu story zetu mwehu yule " hii sio 1st kufanya anavyo fanya ....


Imagine hii post inamuda gani tangu iwe posted humu -- na yeye kipindi ndio kwanza kimaanza now ....

Pia kuna thread nyingine pia kaiongelea katika kipindi chake kabla hajaiongelea thread hii alianza na hiyo

Thread yenyewe inasema ---JE ULISHAWAHI KUMPENDA MPENZI WA RAFIKI YAKO

nadhani uongozi wa jf ulipaswa kuwashtaki hawa " ....... kwa sababu wanatumia content za hii platform bila kutoa credit .... Yaani wao wanapata sifa huko mitaani kumbe wana desa tu habari zetu
 
Mkuu hapa huna jinsi tena, huyo mtoto anahitaji malezi yenu wote...oa tu kwani hata zamani wazee wetu walikuwa wanaoana kimazoea. Hampendani ila baada ya muda mnaanza kuzoeana na kupendana, mazoea yana taabu na raha yake pia.
 
Sasa hizi ndio huwa zinaitwa story about love and not a love story [emoji23][emoji23].
Ukimwacha huyo mwanamke utakuwa umefanya ushezny wa kiwango cha lami, umemzalisha na kumpotezea miaka si chini ya minne!!!
Na vipi bado unamgegeda huyo dada ambaye humpendi?
 
Huyu muongo Bwana, anazo hisia,asingekua Nazo asingeweza kuishi nae zaidi ya miaka 3!
Na kwa nnavyojua mwanaume hawezi kuishi na mtu ambae Hana hisia nae na kukawa na amani lakini mwanamke anaweza.... Inawezekana anampenda lakini hajijui
 
mkuu..Naomba number za huyo mchumba wako Ili wewe uendelee na huyo uliyemzalisha.
 
Kama unampenda mtoto wako , oa mama yake.
Huyo mchumba wako unadhani amekusamehe ..ila anakuandalia kisasi. She will avenge ..haiwezekani akusamehe na bado unaendelea kuishi na huyo bibie.
Yani una mpenzi single mwisho wa siku anageuka single dad kabla hajakuoa.
No thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…