Naishi naye ndio, Lakini...

Nipo nausikiliza wimbo wa Belle 9 hapa "Amerudi"......Mnunulie kiwanja,mfungulie biashara ndogo ya kumwingizia hata 4,000 kwa siku, then muweke wazi...Ukweli umuweka mtu huru ndo maana mchumba wako alikusamehe

N.B Katika kumpa ukweli mshirikishe Mungu na hakikisha akili yako ya shule na ile ya kuzaliwa ziko ktk ubora wake
 
Natamani ingelikuwa rahisi hivyo mkuu. Najuta pia kwakuwa huenda labda niliongozwa na mwili kufanya maamuzi, lakini kwa kuwa najua mpo ambao mnaweza kunisaidia mawazo, natubu kwa Mungu na kwenu, kisha naendelea kuomba msaada wa ushauri

huyoo uliezaa nae ndo mke wako sasa huyoo unaesema mnamalengo makubwa ni dunia ya kufikirika. Dunia halisi ni hiyoo unayoishi sasa.
 
Boss ushaharibu huna budi kuyaoga

Aisee Usimwache baby mama wako aisee .

Jaribu kutoka nae Out mbali kabisa ya mji mnunulie nguo mpya zile za kumchora umbo lake

Naamini utamtamani na kumpenda upya .

Huyo mchumba wako kama hutaki kuachia ngazi kirahisi basi nae piga chapa kwanza otherwise you are doomed
 
Acha ndoto za kuwa na malengo na huyo mwanamke.......cha kufanya muoe mama watoto ..huyo mwingine wa malengo abaki kuwa mchepuko...kinyume na hapo utajuta
 
Ulivyochepuka bila kutumia kinga ulitegemea nini?, mimi binafsi nampongeza huyu mama mtoto kajua kujishikilia haswaa ,ulipaswa umwambie siku ile ile kuwa humpendi sio kumtumia miaka yote hiyo alafu uje umuache tuu na hajakukosea chochote hakika karma haitakuacha salama
Najuta mno mno mno
 
ha ha ha ha ha ha mkuu endelea na wote mmoja mpangie chumba mbali ukimuacha huyu uliyezaa nae na hana tatizo mtoto atapata shida. Alafu mstahi bwana mbona yeye alikusaidia shida zako wakati unataka kuosha rungu
Tatizo ni hisia.. Hisia zangu haziko kwake hata kidogo. Awali nilidhani kuwa, baada ya muda huenda ningeweza kujifunza kumpenda, lakini naona hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku
 
Mkuu... Huyu ambaye ndiye yuko kwenye plan alivunjika sana moyo pindi alipoujua ukweli. Sikujua kuwa angeweza kunielewa. Lakini amekuwa nami katika kipindi chote. Yeye pia, baada ya kumweleza mazingira ambapo mtoto anaweza kukulia kama nikiachana na mama yake, amekuwa msikivu na mpango uliokuwa awali ukarudi upya.. Hakika sio rahohisi kulielezea hili...
 
Huyo mchumba wako aliyekusamehe atakuja kukupiga pigo moja takatifu hadi utatamani umrudie huyo mwanamke uliyezaa naye na unayetaka kumuacha akahangaike na damu yako
Duh!!! Mpaka mwili umenisisimka...
 
Hayo malengo makubwa saaana na huyo unayemuita mchumba wako wa zamani ni yapi??
Kununua ndege?kununua treni ya mizigo?au kugombea urais yeye awe first lady??
Huyo uliyezaa nae hana nini?
Wewe jamaa ni fala tu kama mafala wengine,kuna jamaa kakuuliza humu,wazee wako wanasemaje kuhusu hilo??
Kumbuka upendo kwa mtoto ni kitu kizuri sana,na hivyo wewe unavyompenda mwanao na ndivyo mwanao anavyokupenda wewe pamoja na mama yake,kumuacha huyo mama yake ni kumuumiza kwa kiwango ambacho hakielezeki huyo mtoto japo hawezi kueleza ni jinsi gani anaumia.
Brother,kama uliyoisema siyo movie,endelea na maisha na huyo mwanamke uliyezaa nae,epuka kutengeneza matarajio feki na hewa
 
Nashukuru kwa tusi pia, huenda limetumika kuelezea uhalisia wa mimi ni nani hasa.. Ingawa bado nakiri kuwa ushauri wako umeniongezea kitu
 
Brother,maumivu anayoyapata mtoto kwa kutengwa kwa mama ake na baba ake ni makubwa mno hawezi tu kukueleza.
Ushauri sahihi kama angeweza kuongea,ungeusikiliza kwa huyo mwanao
Nashukuru kwa tusi pia, huenda limetumika kuelezea uhalisia wa mimi ni nani hasa.. Ingawa bado nakiri kuwa ushauri wako umeniongezea kitu
 
Hivi unatujua wanawake vizur ww, yani utende jambo la usaliti mpaka na mtoto juu kisha nikusamehe na bado uendelee kupikiana na kupakuliana na mwanamke mwenzangu, thubutu labda kama nikienda haja ndogo nasimama lkn kama nachutama hkuna kitu kama hichoo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom