Naishi naye ndio, Lakini...

Ifupishe maana sisi ma manager hatuna muda sana wa kusoma paragraph zote
 
Afadhali unisaidie maana watu humu Mmmmh
 
Hilo ni kosa la kiufundi tu na maamuzi yako yanatakiwa yaangalie utu kwani maisha ni mafupi sana(kufika miaka 100 ni bahati).Kama uko vizuri kiuchumi mjengee nyumba ndogo tu ikiwezekana mpatie biashara itakayomuwezesha kujikimu;baada ya hapo endelea na mtu wako unayemtaka
 
Yaani kwamba mdogo nae alimla??
 
Mimi nakushauri oa uyo uliyezaa nae uyo ndio mke wa ndoa uyo mwingine ambae mna malengo hewa achana nae
 
Women...
Wachache sana tena Mno kuwaamini, anaweza kwambia yameisha ila.! Siku likilipuka hutakuwa na pakutokea, Mkuu.
 
Hayo malengo makubwa hamishia kwa huyo uliyezaa nae

malengo makubwa hayachagui mtu wa kupanga nae

najua unamdharau kwa kua hana kipato
 
Mmh,yaani nikusamehe ,hapohapo najua bado upo na huyo uliyezaa nae?haiwezekani aiseee!
No,huyo hajakupenda,tusidanganyane!

Oa uliyezaa nae ukimuacha utajuta!
 
Mmmh
Unatujua wanawake vzr wewe?
Be carefully
 
Me makushauri mtie kwanza mimba huyo.mvhumba mwengine ile kwanza ujiwekee uwakika kama hyo mwengine ukishamtia mimba ndo anza kufanya nae mipango ya kukaa nae la sivyo nae atakufanyia kitu hutokuja kuamini kama yeye kakufanyia hivyo
Huu sio ushauri mzuri!
Unafikiri kua na watt mama tofauti nayo ni sifa?
Km imetokea kukosea inatakiwa kujifunza sio kufanya kwa nakusudi
 
[emoji16][emoji16]duh[emoji87][emoji87]
 
Huyu muongo Bwana, anazo hisia,asingekua Nazo asingeweza kuishi nae zaidi ya miaka 3!
 
Kuzaa na mwanamke mwingine kusamehewa inawezekana. Lakini kumruhusu baada ya kumzalisha waendelee kuishi nyumba moja na yeye hayupo... I can't buy that.. Kamwe.
Yaani nashangaa!
Basi huyo mdada sio wa kawaida
 
Braza kitu unachotaka kukosea sana ni kuzaa mtoto alaf na kumtelekeza mamayake kwa kumuoa mwanamke mwingine, hakika unatengeneza bomu kuubwa ambalo haujui athari zake katika maisha ya familia yako na maisha ya mtoto wako na mke utakae muoa,

nduguyangu nikushauri kwamba yule usiye mpenda wewe ndiye mwanamke wa ukweli ambaye kaja kwenye maisha yako ili kukupa mabadiliko chanya, mjenzi wa familia na maisha kiuchumi kwa ujumla na ndiye yeye anae kupenda na anajua nin maana ya upendo kwako,,,

Na huyo unaye mtaka wewe baada ya kumuoa na kumfukuza huyu uliye kwisha kuzaa nae, atakuatu consumer na asiye jari, atakua mwiba wa mti wa mkenge,

hebu jitahidi basi uwe na upendo kwa mwanao, jitahidi kuvaa viatu vya mwanamke huyu imagine ungalikua niwewe ingekua vipi!!!


Mtoto huyo katika maisha ya uzee wako huenda ndo atakaye kua malaika wako!! Jitahid kumpenda mtoto na mama wa mtoto pia, mjari, ila pia muoe.

"We don't recognize the value of water in the pond until it get dry"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…