Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu ameenMungu nisamehe kwa kile nilichotaka kukomenti hapa
Kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu ameenMungu nisamehe kwa kile nilichotaka kukomenti hapa
Wakikubali wote??Wambie wote tuu ukweli alafu atayekubali endlea maisha naye
Yeah, maana anasema yote hayo ni matokeo ya kilevi,hivyo aendeleze gambe ili maisha yasonge na mzazi mwenzieKwamba apige gambe hisia zisome tena...
![]()
Dini bro dini bro hairuhus
Kunywa maji kwanza mkubwa wetu" nilikutana na mwanamke fulani ghafla tu"
"Hasira ikayeyuka na kwa mara nyingine akalala nami"
"Baada ya kula uzazi kwa miezi sita, alirudi nyumbani, na ile hofu yangu juu ya mazingira ya kwao [sina haja ya kuuelezea sana ugumu wake]"
"nna mchumba ambaye tuna malengo makubwa"
"sikuwahi kuwa na hisia na mwanamke huyu"
Nia ya huu uzi ni kututafutia wengine ban tu! Tunaotaka kuporomosha mitusi tunakomenti wapi jameni
Hampendi huyo mwingine
Hatari sana mkuu, hatari kabisa hayaelezeki. Wa pili mimi nataka nimuoe yeye hataki na ana masharti si mchezoMkuu naona umefuraiiiii unao wawili nini wanasema raha ya mme muwe wanne
Niaje mwana???Naomba unitukane Mimi please
Si kasema mwenyeweKwanini unasema hivyo hampendi
OkYeah kuna umuhimu kama hakuna cha kuzuia.
Inategemeana na mazingira ama kuna kitu umelenga,ni ngumu mchumba wako utambue kuwa ana mwanamke mwingine tena anaishi naye na mtoto juu alafu eti umsamehe huku bado wanagegedana!!!hakuna kitu kama hicho,,lazima atakuwa ana target yakeHaha usiseme hakuna. Mi mbona naweza kusamehe.![]()
Niaje mwana???
Mi mkubwa wako eeh?Kunywa maji kwanza mkubwa wetu
Kama kawa bro. Let me WhatsApp youKwema bro vipi mitikasi
Mi mkubwa wako eeh?
Inawezekana! Si unajua tena dunia ya kusadikika??
Ndio maana humu kila mtu mkuu.....
How are you???
Inawezekana! Si unajua tena dunia ya kusadikika??Mi mkubwa wako eeh?