Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Hayo ni mahabba kwa mtoto wake na hiyo itakuwa kabla ya 2013
Ujuzi hu kaupata kwa mama Salma
 
Akifika Miaka 18 anakabidhi akili yake kwa Madereva wa Maboda boda ! Maisha safar ndefu sana
 
Liz ndio RiZ ?

mshana wewe si mpare ,utakuwa mlugaluga flani,kiswahili kibovu kabisa kutokea karne hii.

Liz means Elizabeth?
 
Back
Top Bottom