Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,248
- 832,189
Akifika Miaka 18 anakabidhi akili yake kwa Madereva wa Maboda boda ! Maisha safar ndefu sana

Akifika Miaka 18 anakabidhi akili yake kwa Madereva wa Maboda boda ! Maisha safar ndefu sana

Liz ndio RiZ ?
mshana wewe si mpare ,utakuwa mlugaluga flani,kiswahili kibovu kabisa kutokea karne hii.
Liz means Elizabeth?

I bet no...!Editing.....
Toto limefutuka
Ujinga gani huo wa kuuza sura za watoto kwenye mitandao ndio maadili hayo.Japo siifagilii sana lkn kwa hili nampongeza.
Wazazi kuwa karibu na watoto ni jambo jema sana. Kumbukumbu ya kufanya hivyo kamwe haitafutika kwa mtoto.
Hongera sana Liz Moko
Ila umeongea point........Ujinga gani huo wa kuuza sura za watoto kwenye mitandao ndio maadili hayo.
KIRIBA TUMBOToto limefutuka
Mtafute "kichaa" mmoja anaitwa Sigmund Freud na nadharia yake ya Psychoanalysis atakupa angalau madokezo juu ya tabia hii. Anasema sababu ya msingi ni matamanio ya kingono (binti anamtamani babake na mwana anamtamani mamake). Katika hali ya kawaida matamanio haya (Oedipus Complex) hufifia kwa kadri muda unavyoendelea japo kuna wengine hu-stuck na matokeo yake huwa siyo mazuri (incest). Ni mapito ya lazima ili mtoto aweze kufikia umri na uwezo wa kuwa huru emotionally katika mahusiano yake na wenzake huko mbele ya safari.Ila wababa hua wapo karibu na watoto wao wa kike na wamama wapo karibu na watoto wao wa kiume, mtoto wa kiume yupo radhi asimwambie baba yake siri na yupo radhi akamwambie mama yake na vise versa kwa sisi mabinti na baba zetu.
Anasema unafanya hivyo in your subconscious mind. Hujui kuwa una matamanio hayo japo unayo. Na ukikua yanapotea yenyewe. Nadharia yake ya Psychoanalysis ni mojawapo ya nadharia muhimu sana katika hatua mbalimbali za matibabu ya wagonjwa wa akili na huwezi kui-dismiss tu kirahisi namna hiyo. Google Oedipus Complex ujipatie angalau mwanga kidogo kuhusu mawazo ya huyu jamaa.Mhhhh hapana yaani mimi nimtamani babayangu, hapana kwakweli.huyo mwanasaikolojia anawaza ngono tuu