Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
163
Hivi kitamaduni kuna kosa kweli au kawaida sana kwa sasa hivi.
f1ab43e8557bfe63ea05f9c24dc34a90.jpg
 
Kwa wanaume wote waliooa kama kuna vitu vidogo vidogo huwezi fanya nyumbani kwako kwa muda wa mapumziko basi ww ni mkoloni.
Utakuwa ndio Riz wew, hongera lakin imekaa vyema
 
Ukisoma kashfa na kuangalia picha unaweza kushangaa ujasiri unatoka wapi wa kufisidi kiasi kile ikiwa ana roho kama sisi za kujali watoto.
 
Dah umenichekesha sana
Siku anaona kudume kimeleta posa duh ........
knowing kabisa kwamba sasa mwanao anapigwa katelelo.......
Nyambafu kabisa nitakutoa na rungu la mzee hahahahaha

kwanza nitaanza kuzipiga chini hizo nywele zinazosukwa na baba mkwe.
nikienda na wife ukweni mzee anamuona binti yake ana bonge la upara.
 
Safi sana. yupo sahihi kabisa. Ni watu wachache tu wanaofikiria viongozi au watu maarufu hawana Muda na familia zao na kufanya shughuri za kijamii nje ya siasa.
 
Hii kawaida sana, hata sisi watoto wa kiume wa enzi zile tulikuwa tunafanya kazi ya kufumua nywele kwenye vichwa vya mama zetu.
Ukirudi tu shule mama anakukabidhi chanuo, teh teh teh
 
Back
Top Bottom