Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

Ukisoma kashfa na kuangalia picha unaweza kushangaa ujasiri unatoka wapi wa kufisidi kiasi kile ikiwa ana roho kama sisi za kujali watoto.
Suala la ufisadi halihusiani kabisa na mapenzi ya mtu kwa mwanae
 
Familia ikishiba ndo unaweza kufanya hayo anayo yafanya ukumbuke baba yuko bize na kuhakikisha mkate haupungui nyumbani atayafanya SAA ngapi? Yote hayo
 
Mtu anaweza kuwa mnafiki kwa mwanae? Mkuu acha hizo
Umenielewa kwa upande mwingine. Nilioumaanisha mimi ni huu:

Hisia anazozipata akiwa na mwanae kwenye nyumba yenye vigae wakifurahia kila mtu anaitaka, kama kashfa zilizopo ni za kweli atakua amenyima baba wangapi fursa ya kukaa na binti zao wakafumuana nywele?
Hapo hapo yeye ana nguvu ya kukuoneshea furaha yake na binti yake.
 
Du jamaa kamfanana baba yake na yeye anaweza kuwa Rais avumilie kidogo tu.
 
unnamed (27).jpg
unnamed (27).jpg
 
Bora amsuke mwenyewe tu,kabla ya muda masela kuanza kumsuka mtaani huko.
 
Huyo ni mwanae? Naona kama kavimba tumbo au waswahili wa wa chalinze washafanya yao
 
Back
Top Bottom