Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,771
- 22,067
Andika kiingereza au kiswahili, acha ubrazamen kuchanganya lugha unaharibu kabsaFirst of all huwezi kuwa Havard product,second hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi(soma kitabu cha rich dad poor dad) au angalia movie ya wolves of wallstreet. Third nchi yoyote inahitaji wawekezaji,hakuna muwekezaji anaependa kuinvest hela yake kwenye nchi ya rais ambae ni unpredictable,rais ambae anaamini katika sifa za ki-robinhood za kurob from rich and giving free to the poor.Tanzania inaelekea kwenye economic doom!