Naiona Zimbabwe ikija Tanzania

Naiona Zimbabwe ikija Tanzania

Acha kutoa mapovu kuhusu mimi kusoma Havard.

Halafu unavosema eti wawekezaji hawatakuja Tanzania kwa sababu ya Rais, unaonesha wazi chuki zako kwa Rais Magufuli.

Juzi tu wamekuja wafanyabiashara wa Russia kuja kuwekeza Tanzania.

Bila kusahau kundi la wawekezaji kutoka Singapore waliotia nia ya kuwekeza dola Bilioni 3 Morogoro.

Ha ha haaa,wawekezaji wamenitia nia?....
 
wakati nchi zinashindana kuvutia mitaji ya wawekezaji nyie mko mna wa harass! unadhani serikali naweza kufanya yote???? yale yale ya Nyerere yanarudi, tuanze kupanga foleni hadi za sabuni na kuvaa ma kaniki na matairi ya magari!
.....

........ndo tunapiga hodi huko Mkuu
 
Ukweli ndio huo sekta binafsi karibia zote zimepunguza wafanya kazi, na wako wanaotoka vyuoni kutafuta ajira kasi ya kufufua viwanda ni kichekesho kiwanda kinahitaji bilion 60 ili kianze kazi zinatengwa bilion 2, sijui ni kutojua au kufanya wananchi mazuzu?! inasikitsha sana.

......

.......tumeshapotea
 
Usiiite misimamo ya Mugabe ujinga wake maamuzi aliyofanya si rahisi yanahitaji ukombozi wa kifikra kueleweka kwa wenye upeo robo. Hakuna mabadiliko yatakayotokea bila kukutana na changamoto kwani si wote watakaokubaliana na falsafa za mtawala
 
Wewe unaelalamika kuwa hii serikali itakuwa kama Zimbabwe,Wewe unataka kila kitu kutoka serekalini,Lakini nakuambia fanya Kazi kwa Bidii utafanikiwa tuu.Serekali haiwezi kukufanyia kila kitu.Miaka 2 nchi inabadilka.wewe subiri.Subira yavutta kheri.
 
First of all huwezi kuwa Havard product,second hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi(soma kitabu cha rich dad poor dad) au angalia movie ya wolves of wallstreet. Third nchi yoyote inahitaji wawekezaji,hakuna muwekezaji anaependa kuinvest hela yake kwenye nchi ya rais ambae ni unpredicted,rais ambae anaamini katika sifa za ki-robinhood za kurob from rich and giving free to the poor.Tanzania inaelekea kwenye economic doom!
Tumuombee Kaomba pia tujiombee. Kwa mwendo huu pabaya paja kwa kasi.
 
Wewe unaelalamika kuwa hii serikali itakuwa kama Zimbabwe,Wewe unataka kila kitu kutoka serekalini,Lakini nakuambia fanya Kazi kwa Bidii utafanikiwa tuu.Serekali haiwezi kukufanyia kila kitu.Miaka 2 nchi inabadilka.wewe subiri.Subira yavutta kheri.
Hayo yawezekana kama serikali inatimiza wajibu wake. Inatoa uongozi, uongozi bora. Lakini kwa kutafuta pa kutumbua kila siku, inajikanyaga . Weka mfumo achia uendelee, rudi kuongoza nchi. Twiga kwa urefu wake ni wa majani ya juu ya mti
 
Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon

i. Private sekta itadorora kama ilivyo Zimbabwe.

ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe

iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana!

Leo kuna sehemu mfuko wa simenti hadi elfu 20 sukari hadi elfu 4000 - 5000

Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!

Nothing but wishful thinking
 
UNA MAANA GANI HAPO KWENYE red

kipindi hicho Bara wanavaa Makaniki Zanzibar walikua wanavaa Suruali, shati,Kanzu Na buibui, Bara walikua wananukia mafuta ya nazi tuu, kule Zanzibar tayari parfum ziko kila sehemu.
 
hapa Arusha tayari ili kununua sukari kilo moja lazima uwe na kibali cha mwenyekiti wa mtaa tena kuna maduka maalum,cha ajabu ni kwamba wenyeviti wa mitaa hasa wale wa ccm wanafurahia sana jambo hili
 
Acha kutoa mapovu kuhusu mimi kusoma Havard.

Halafu unavosema eti wawekezaji hawatakuja Tanzania kwa sababu ya Rais, unaonesha wazi chuki zako kwa Rais Magufuli.

Juzi tu wamekuja wafanyabiashara wa Russia kuja kuwekeza Tanzania.

Bila kusahau kundi la wawekezaji kutoka Singapore waliotia nia ya kuwekeza dola Bilioni 3 Morogoro.
1) Kama wewe ni product ya Havard thibitisha (Huna lolote...)
2) Niambie nchi moja duniani inasaidiwa au inafaidika na wawekezaji kutoka Singapore..Hakuna
2) Niambie nchi moja ambayo Russia imeisaidia ikue kiuchumi...(Nikusaidie jibu..hakuna)
Naweza nikakuonyesha nchi moja ambayo Russia "ilijifanya inaisadia kiuchumi", inaitwa CUBA..imechoka mbaya..watu mjini bado wanatembelea ma Bedford ya mwaka 1957,mpaka sasa hivi wamarekani wameanza kuisaidia ndo imeanza kupumua angalau watu wanaona ni kiasi gani walipoteza miaka 50 ya uhasama na marekani kwa matumaini ya kusaidiwa na Russia yalikuwa bure...Sasa na nyinyi mnataka kutupeleka kulekule wengine wanasali Mungu awatoe..Mbaya zaidi mnataka tuwaombee mtufikishe huko
 
Zimbabwe sukari ipo tena kiwango chake ni bora kuriko iyo tunayogombani wana brown..white na ile ingine sema kuanguka kwa Tanzania uchumi wake utakua wa kipekee Zim watakua juu zaidi anguko letu...
uwii. mbona mnanitisha, sina hata cha kuficha kwenge dari kama wenzangu wenye magodauni.....
 
Wanawekeza ktk mradi gani ndugu?dola bilioni tatu ndio uwekezaji mkubwa zaidi kuwahi kuwekezwa Tanzania.
Acha kutoa mapovu kuhusu mimi kusoma Havard.

Halafu unavosema eti wawekezaji hawatakuja Tanzania kwa sababu ya Rais, unaonesha wazi chuki zako kwa Rais Magufuli.

Juzi tu wamekuja wafanyabiashara wa Russia kuja kuwekeza Tanzania.

Bila kusahau kundi la wawekezaji kutoka Singapore waliotia nia ya kuwekeza dola Bilioni 3 Morogoro.
 
Ww usiwe mjinga ,zimbabwe wana saction tanzania atuna saction usiwe mjinga , wanasema hata mjinga akinyamaza ataonekana mwelevu, sasa usitake kuonyesha ujinga wako au upumbuvu wa kutojua vitu kwa lazima ,nyamaza tu tutakuesabia muelewa umesikia , ngoja nikupe elimu ndogo zimbabwe wana sactions , katazo la uchumi ambalo limewekewa na usa ,nchi nyingi zinazoshirikiana na marekani hawaruhusiwi kufanya biashara za zimbabwe ,ngoja niishie hapa unavyoonekana ujui chochote nistumie nguvu nyingi sasa niletee mkubwa wako nimgundishe , mtu yoyote unaemwamini n mwelevu.
mbona unahemuka, vikwazo vilikuja baadae watu waliponyang'anywa vyao kama hao jamaa wa sukari, bahati sio wazungu..
 
Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon

i. Private sekta itadorora kama ilivyo Zimbabwe.

ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe

iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana!

Leo kuna sehemu mfuko wa simenti hadi elfu 20 sukari hadi elfu 4000 - 5000

Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
Hivi humu JF hakuna dislike([emoji107])
 
Back
Top Bottom