Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon
i. Private sekta itadorora kama ilivyo Zimbabwe.
ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe
iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana!
Leo kuna sehemu mfuko wa simenti hadi elfu 20 sukari hadi elfu 4000 - 5000
Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!