Naiona Zimbabwe ikija Tanzania

Naiona Zimbabwe ikija Tanzania

kuhusu sukari nadhani unadanganya mchana kweupe kwani imesababishwa na wafanyabiashara walioficha sukari,

lakini hata hivyo. serikali. imejipanga kuagiza sukari ya kutosha unadhani hata baada ya serikali kuingiza sukari nchini bado itaendelea kuwa bei juu?
hivi umesoma ulichoandika?
 
First of all huwezi kuwa Havard product,second hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi(soma kitabu cha rich dad poor dad) au angalia movie ya wolves of wallstreet. Third nchi yoyote inahitaji wawekezaji,hakuna muwekezaji anaependa kuinvest hela yake kwenye nchi ya rais ambae ni unpredicted,rais ambae anaamini katika sifa za ki-robinhood za kurob from rich and giving free to the poor.Tanzania inaelekea kwenye economic doom!
Acha kutoa mapovu kuhusu mimi kusoma Havard.

Halafu unavosema eti wawekezaji hawatakuja Tanzania kwa sababu ya Rais, unaonesha wazi chuki zako kwa Rais Magufuli.

Juzi tu wamekuja wafanyabiashara wa Russia kuja kuwekeza Tanzania.

Bila kusahau kundi la wawekezaji kutoka Singapore waliotia nia ya kuwekeza dola Bilioni 3 Morogoro.
 
wakati nchi zinashindana kuvutia mitaji ya wawekezaji nyie mko mna wa harass! unadhani serikali naweza kufanya yote???? yale yale ya Nyerere yanarudi, tuanze kupanga foleni hadi za sabuni na kuvaa ma kaniki na matairi ya magari!
Ki ukweli kwa Mara ya kwanza tumepata rais mwigizaji, apiga ngoma yeye, anacheza yeye, hata comedy anafanya yeye, tazama sakata la sukari alivyogeuza sababu kua watu wanaficha sukari, wakati yeye ndiye aliyezuia sukari ya nje kuingia ndani. Najuta kumpa kura yangu.
 
Ki ukweli kwa Mara ya kwanza tumepata rais mwigizaji, apiga ngoma yeye, anacheza yeye, hata comedy anafanya yeye, tazama sakata la sukari alivyogeuza sababu kua watu wanaficha sukari, wakati yeye ndiye aliyezuia sukari ya nje kuingia ndani. Najuta kumpa kura yangu.
Kweli kabisa,wanaumiza watu bila sababu
 
kuhusu sukari nadhani unadanganya mchana kweupe kwani imesababishwa na wafanyabiashara walioficha sukari,

lakini hata hivyo. serikali. imejipanga kuagiza sukari ya kutosha unadhani hata baada ya serikali kuingiza sukari nchini bado itaendelea kuwa bei juu?
Kama tatizo ni walioficha kwanini serikali imetoa vibali kuagiza nje wakti walioficha wanasakwa na kutumbuliwa.
 
We can not solve our national problems with same level of thinking nadhani umetumia vzr uhuru wako wa kutoa maoni lakini nadhani uelewi nn kilichofanya uchumi wa Zimbabwe ukawa hvyo ulivyo na pia ufahamu Tanzania tunakwenda wapi kiuchumi now tunachotaka ni uchumi wa soko huru si soko holela
 
Ngoja nikatoe akiba yangu bank niibadili dollar nikae na dollar. Maana shilingi soon itageuka makaratasi yasiyo thamani.
 
Tupo kwenye kipindi cha mpito hivyo maumivu lazima lkn baada ya mpito huu mambo itakuwa safi!
 
NIna mashaka sana na predictions zako; sijaelewa ni kwanini umefikia conclusion ya jinsi hiyo? Baadhi ya mikoa cement imeanza kushuka bei (sio Dar) we unazungumzia habari ya kupanda bei? Kitu kilichoteteresha mambo nadhani ni sukari na to me nadhani hili ni jambo la mpito. Labda nikubaliane na wewe kitu kimoja, Magufuli hapaswi kuwadharau wafanya biashara, anatakiwa kufanya nao kazi hand in hand because bila wao pia nchi haiwezi kwenda. Serikali kwa sehemu kubwa inategemea KODI, na wanaotakiwa kulipa KODI ni hao wafanya biashara (najua kuna watu watabisha hili)
Kuhusu wawekezaji sidhani kama kuna mwekezaji anaweza kuondoa mtaji wake Tanzania, Tanzania ina kila kitu cha mfanya biashara makini kuweza kutengeneza faida, waondoe mitaji yao kwasababu gani? Kilichotokea Zimbabwe na Tanzania ni tofauti kidogo, Mugabe alinyang'anya mashamba ya Wazungu na kuwapa wapigania Uhuru ambao wala hawakua na maandalizi ya kulima na mara baada ya Wazungu kukosa mashamba, wengi wao waliondoka Zimbabwe na kwakua ndugu zao (mataifa ya magharibi) wanushirikiano na wazungu wa Zim, mataifa hayo yaliamua kuiwekea vikwazo Zimbabwe. Tanzania tumenyeng'anya mali ya NANI!?
 
Kabla Mugabe hajaanza ujinga wake na usocialism, zimbabwe ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye ustawi mkubwa wa kiuchumi na kijamii barani Africa. Ndo ninayaona yanakuja Tanzania, soon

i. Private sekta itadorora kama ilivyo Zimbabwe.

ii. Nchi nyingi zitaisusa Tanzania kama Zimbabwe

iii. Wafanyabiasharana na wawekezaji wengi wataondoa mitaji yao Tanzania
Mfumuko wa bei utapaa na maisha yatakuwa magumu sana!

Leo kuna sehemu mfuko wa simenti hadi elfu 20 sukari hadi elfu 4000 - 5000

Ndo kwanza miezi 6 za Serikali madarakani!
Ww usiwe mjinga ,zimbabwe wana saction tanzania atuna saction usiwe mjinga , wanasema hata mjinga akinyamaza ataonekana mwelevu, sasa usitake kuonyesha ujinga wako au upumbuvu wa kutojua vitu kwa lazima ,nyamaza tu tutakuesabia muelewa umesikia , ngoja nikupe elimu ndogo zimbabwe wana sactions , katazo la uchumi ambalo limewekewa na usa ,nchi nyingi zinazoshirikiana na marekani hawaruhusiwi kufanya biashara za zimbabwe ,ngoja niishie hapa unavyoonekana ujui chochote nistumie nguvu nyingi sasa niletee mkubwa wako nimgundishe , mtu yoyote unaemwamini n mwelevu.
 
Umetumia vigezo gani kuandika takataka hiii. Wafanyabiashara makini watabaki na kuongezeka. Wale wapiga dili na wakwepa kodi wataondoka na hawana faida kiuchumi pia.
Wafanya biashara wapiga dili ndiyo watabaki wale walio watiifu wataamua kuondoka zao, hawapendi matatizo, wapiga dili wanapenda nchi zenye matatizo, ili wafanye biashara vizuri. Biashara inataka hikma kama watu wanaficha sukari serikali inatakiwa iachie mfanya biashara yeyote aaagize sukari kisheria, bei itashuka yenyewe, kosa letu tunataka kulinda viwanda ambavyo vingine vinadaiwa mpaka na wakulima wa miwa.Viwanda vyetu havina mitaji ya kutosha, mashine za kisasa na utaalamu wa kutosha kwahiyo hawawezi kushindana na viwanda vya nje.
 
Back
Top Bottom