theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 297
- 211
1) Kama wewe ni product ya Havard thibitisha (Huna lolote...)
2) Niambie nchi moja duniani inasaidiwa au inafaidika na wawekezaji kutoka Singapore..Hakuna
2) Niambie nchi moja ambayo Russia imeisaidia ikue kiuchumi...(Nikusaidie jibu..hakuna)
Naweza nikakuonyesha nchi moja ambayo Russia "ilijifanya inaisadia kiuchumi", inaitwa CUBA..imechoka mbaya..watu mjini bado wanatembelea ma Bedford ya mwaka 1957,mpaka sasa hivi wamarekani wameanza kuisaidia ndo imeanza kupumua angalau watu wanaona ni kiasi gani walipoteza miaka 50 ya uhasama na marekani kwa matumaini ya kusaidiwa na Russia yalikuwa bure...Sasa na nyinyi mnataka kutupeleka kulekule wengine wanasali Mungu awatoe..Mbaya zaidi mnataka tuwaombee mtufikishe huko
1) Nithibitishe kwako nimesoma Havard kwako, ili iweje?!
2)Acha kukariri hekaya za akina Mbowe.
3)Fungua link hii chini, uone kiasi cha raia wa Singapore walichowekeza India http://www.dealstreetasia.com/stori...st-source-of-foreign-direct-investment-22482/
4)Waulize Ukraine na Czech kiasi cha uwekezaji kilichowekezwa na Russians.
NB: England peke yake ina uwekezaji wa $300 Billions kutoka kwa Russians.