Naingia ktk maisha ya ndoa

Naingia ktk maisha ya ndoa

Hongera mkuu
Karibu kwenye chama la wanaume wa ukweli

Kila la kheir ila uvumiliv na akili vinahitajika

Ushauri : jitahidi sna hata km una hela gani usimzieshe maisha ya juu mke katk sku hizi za awali kwani ndo zinamfanya mwanamke aishije na ww ktk maisha yenu yote so kazi kwako km utamzoesha daily outing sku ukifulia utakuja kuisoma ndugu
 
Thanks kwa ushaur mzuri
 
Inshallah Na ikawe heri juu yetu ndoa imepita salama.
IMG_20180915_150052.jpg
 
Back
Top Bottom