Hahaha jamaa kaweka na picha lolKila la kheri mkuu
Kila laheri, wale binamu zako hawajapata wivu? Watakuwepo kwa shughuli kweli
Aahaha ... Mkuu acha roho mbayaHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Aisee... Ruge alisemaHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Naomba umstahi bwana harusi tafadhal[emoji23] [emoji23]nilkkuwa naitafuta picha yake huyu jamaa aliyewala binamu wawili,wacha niipeleke kule ambako nilitumwa kuitafuta,naimani atakiona cha moto huyu na hii ndoa yakd,haweza akala binamu hivi hivi
Haya yalkua mpitoHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Poa poa kakaHa ha ha ha maalumu nichek plz 0717451771
JF WAFUKUNYUKU KISHENZIHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Atajuta kuweka picha, mara wife nae yupo jfDaah imagine kama wapo humu
Eti atahamia kwa mashemeji, ndugu wa mkeKijana atakua anapasha kiporo uyu