Wewe apo tumekuchaguaHongera Nani anatuwakilisha JF lol
Ha ha ha ha jamaa umeingia store!Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Inasemekana Binamu siyo haramu.nilkkuwa naitafuta picha yake huyu jamaa aliyewala binamu wawili,wacha niipeleke kule ambako nilitumwa kuitafuta,naimani atakiona cha moto huyu na hii ndoa yakd,haweza akala binamu hivi hivi
Hapo kwenye send off kuna kauhuru flani huwa kanakosekana asee. Hongera sana bro,Mungu atanyoosha njia yenu. Jiepusheni sana na kununiana na kuhisiana vibaya ndani ya ndoa yenuHeri iwe nanyi.....nimeamua kufany maamuz my magumu Kama kijana...Leo 15/9. Nafunga ndoa maeneo ya ukonga Mombasa...karibun ... naambatanisha Na sendoff picha iliyofanyik alhamisView attachment 866571View attachment 866572
Kuzini naye haramu mkuuInasemekana Binamu siyo haramu.
Hili sio kaburi tu ila handaki la kivita umelifukua.Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari sana uyu na ata mabek Tatu atawatembezea sana mkuyengeEti atahamia kwa mashemeji, ndugu wa mke
Naona historia ya bwana harusi si mbaya sana, kwaiyo nyumban kwenu wakija wageni kama mashemeji zako wakike, wife akilala kama kawa unaliamsha dudeHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Historia ya bwana harusi sio mbaya ha ha haNaona historia ya bwana harusi si mbaya sana, kwaiyo nyumban kwenu wakija wageni kama mashemeji zako wakike, wife akilala kama kawa unaliamsha dude
Hapana Leo Niko busy kaka angu!Kale pilau ilo ray
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] evaa....Kila laheri, wale binamu zako hawajapata wivu? Watakuwepo kwa shughuli kweli
Mkewe ataitwa wifi kinafiki masikini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] evaa....