Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Una pua kubwa sana mkuu!
duuh watu wafuku nyuzi!Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Mmh.Karibu kwenye chama la walala uchi kijana
Mmh. Rafiki.Kuoa ni sawa na kupoteza mda
Kwahiyi mkuu,umeacha kula binamu zako? Au ndo mdogo mdogo unasuuza rungu?Heri iwe nanyi.....nimeamua kufany maamuz my magumu Kama kijana...Leo 15/9. Nafunga ndoa maeneo ya ukonga Mombasa...karibun ... naambatanisha Na sendoff picha iliyofanyik alhamisView attachment 866571View attachment 866572
Mashaallah, hongreni sanaInshallah Na ikawe heri juu yetu ndoa imepita salama.View attachment 869085
[emoji3][emoji3][emoji3] mzee mbona unamtisha mshkaji. Mwache kwanza ainjoi honeymoon huko zenjiHogera mkuu ila nakuonea huruma, wanawake wafupi wana visirani mno! Uwe mvumilivu kijana.
Atafurahia show mbona![emoji3][emoji3][emoji3] mzee mbona unamtisha mshkaji. Mwache kwanza ainjoi honeymoon huko zenji
Halafu hawanaga jema wao ni kutafuta attention tu. Ila hizi biology zinatutesa sanaAtafurahia show mbona!
Hahahaha,hii ndo JF bana.Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581